Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Kabisa...Wengi wao ni Magaidi; hakikisha unawafanyia U-FBI muda wote unavyokuwa nao; usikae ki-nyolonyolo.Wanawake huwa ni washenzi na makatili.
Safi sana Mkuu... Usimuhurumie mtu anaetaka kukudhuru..au anaeharibu investment yako...Si unajua - akuanzae.......Mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa japo nimevurugwa sana siku ya leo ila kwa nilichowafanyia kimenipa faraja sana, yani hapa niko natafutwa kama mungu na rafiki wa mwanamke nimsaidie maana hapa dar hana ndugu, nitaeleza nilichowafanya kuwatia akili mission ikikamilika kabisa.
6. Usitoke na Mdada yeyote anayetoka au aliyewahi kutoka na Wanaigeria kwani wengi wao wanaachiwa laana za kimwili bila wao kujijuwa. Yaani wanafanywa makafara na kuchotwa nyota zao, utashangaa unatoka na demu kama huyo unapatwa na mabalaa kila kukicha.Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
Hawa ni mademu wa kichagga na kipare mkuu....hii ni tabia yao, Yaani ni kama vile jadi kwao.Wanawake huwa ni washenzi na makatili.
Achana na hiko kisasi mkuu.
Huyu mchungaji mwachie Mungu wake anayemuabudu ndio atampa adhabu kwa hiyo dhulma aliyokufanyia.
Aachane nae vipi? Usikubali @pachawako - vitu vingine tunamalizana tu hapa hapa duniani; hakuna haja ya kumwachia Mungu.....Achana na hiko kisasi mkuu.
Huyu mchungaji mwachie Mungu wake anayemuabudu ndio atampa adhabu kwa hiyo dhulma aliyokufanyia.
Acheni kuokotaokota😀Hii kuokotaokota hii...sio poa kabisa....
Hata wenye hela wanaliatafuta pesa acha visasi dogo janja
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.
Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.
Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift
Na akiwa jobless unyumba atakupa hata kama ana UTILeo napingana na wewe kwenye hili, binafsi sipendi mwanamke/mke wangu afanye kazi kwa sababu napenda kumhudumia mwenyewe kwa kila kitu.
Sawa nmekusikiaHaupatani na ndugu zako wako wa kiume pia? Kama ndivyo rekebisha hilo...ni mbaya sana hiyo
Kila mtu akiwa na hela yake, hakuna ndoa hapo. Ndoa inadumu kama wote mna hela yenu.Wanaume mnatofautiana nakubali ila kwa upande wangu kuliko kufanya bahati nasibu bora mwanamke awe na hela yake inaepusha mambo mengi.
laiti ungejua, mtu nimeuguza kwa upendo zaidi ya 4m zimenitoka sababu hakua na bima na home kwao hoehae, unafikiri bila financial stability 4m ikutoke ghafla tu ungekua sawa wewe? Tukiachana na hayo ela kweli sina, maana ela siziokoti na wala sipewi au kuiba kwa mtu natafuta kwa juhudi zangu.Poleee sana, Tafuta pesa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto wa kike akipewa elimu akapata na kazi, huyo hafai kuwa mke wa mtu.hivi na watoto wenu wa kike mtapenda siku waje kuwa wamama wa nyumbani ili wawe na heshima kwa waume zao?
Yuko sahihi, anamaanisha mwanamke ambaye kaondoka kwao na kaanza maisha ya kujitegemea kwasabb yoyote ile, huwa anakuwa ameutumia vema uhuru wa kuziona suruali za kila aina na mikongojo yao.Yani unavosema wasioe mdada anayejitegemea kimaisha unamqqnishq nini!!
Akili yako haipo sawa wewe.
Wana-okotaokota utadhani chupa za plastiki...Wacheni hiyo kitu.......Acheni kuokotaokota😀
Sasa kelele za nn? Tafuta pesaaa bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]laiti ungejua, mtu nimeuguza kwa upendo zaidi ya 4m zimenitoka sababu hakua na bima na home kwao hoehae, unafikiri bila financial stability 4m ikutoke ghafla tu ungekua sawa wewe? Tukiachana na hayo ela kweli sina, maana ela siziokoti na wala sipewi au kuiba kwa mtu natafuta kwa juhudi zangu.