Yamenikuta!

Yamenikuta!

Mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa japo nimevurugwa sana siku ya leo ila kwa nilichowafanyia kimenipa faraja sana, yani hapa niko natafutwa kama mungu na rafiki wa mwanamke nimsaidie maana hapa dar hana ndugu, nitaeleza nilichowafanya kuwatia akili mission ikikamilika kabisa.
Safi sana Mkuu... Usimuhurumie mtu anaetaka kukudhuru..au anaeharibu investment yako...Si unajua - akuanzae.......
 
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift.
6. Usitoke na Mdada yeyote anayetoka au aliyewahi kutoka na Wanaigeria kwani wengi wao wanaachiwa laana za kimwili bila wao kujijuwa. Yaani wanafanywa makafara na kuchotwa nyota zao, utashangaa unatoka na demu kama huyo unapatwa na mabalaa kila kukicha.
 
Achana na hiko kisasi mkuu.

Huyu mchungaji mwachie Mungu wake anayemuabudu ndio atampa adhabu kwa hiyo dhulma aliyokufanyia.

Achana na hiko kisasi mkuu.

Huyu mchungaji mwachie Mungu wake anayemuabudu ndio atampa adhabu kwa hiyo dhulma aliyokufanyia.
Aachane nae vipi? Usikubali @pachawako - vitu vingine tunamalizana tu hapa hapa duniani; hakuna haja ya kumwachia Mungu.....
 
Kwa sasa mapenzi ni biashara mwanamke anataka pesa yangu mimi nataka sehemu ya kumaliza nyege zangu tunafanya exchange maisha yanaenda tukichokana kila mmoja anatafuta business partner mwingine. Hivi huu upumbavu wa kupenda bila kutumia akili mnautoaga wapi
 
Poleee sana, Tafuta pesa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafkiri ingekua vyema kutuelezea ilikuaje kwanza kabla ya kutoa ushauri mkuu.
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana mwenye umri zaidi ya miaka 20.
3 : Usidhubutu kuoa mdada anayejitegemea kimaisha.
4 : Usithubutu kuoa binti asie elewana na kaka zake au baba zake.
5 : Usithubutu kumpenda mdada uliyemkuta anavaa shanga na kujitoboa vipini af sio bikra USITHUBUTU.

Kabla ya kumpenda mtu kwanza chunguza watu anaoelewana nao. Utanishukuru.

Nayandika haya nikiwa hapa upanga namtazama mwanamke niliyemwamini kwa upendo wangu wote anatoka kwenye apartment kunisaliti na mnaigeria anayejifanya mchungaji nimepanga kuwafanyia kitu as little gift
 
Leo napingana na wewe kwenye hili, binafsi sipendi mwanamke/mke wangu afanye kazi kwa sababu napenda kumhudumia mwenyewe kwa kila kitu.
Na akiwa jobless unyumba atakupa hata kama ana UTI
 
Wanaume mnatofautiana nakubali ila kwa upande wangu kuliko kufanya bahati nasibu bora mwanamke awe na hela yake inaepusha mambo mengi.
Kila mtu akiwa na hela yake, hakuna ndoa hapo. Ndoa inadumu kama wote mna hela yenu.
 
Poleee sana, Tafuta pesa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
laiti ungejua, mtu nimeuguza kwa upendo zaidi ya 4m zimenitoka sababu hakua na bima na home kwao hoehae, unafikiri bila financial stability 4m ikutoke ghafla tu ungekua sawa wewe? Tukiachana na hayo ela kweli sina, maana ela siziokoti na wala sipewi au kuiba kwa mtu natafuta kwa juhudi zangu.
 
Yani unavosema wasioe mdada anayejitegemea kimaisha unamqqnishq nini!!
Akili yako haipo sawa wewe.
Yuko sahihi, anamaanisha mwanamke ambaye kaondoka kwao na kaanza maisha ya kujitegemea kwasabb yoyote ile, huwa anakuwa ameutumia vema uhuru wa kuziona suruali za kila aina na mikongojo yao.

Halafu unakuta mpk mtaro ushafukuliwa. Hawafai.
 
laiti ungejua, mtu nimeuguza kwa upendo zaidi ya 4m zimenitoka sababu hakua na bima na home kwao hoehae, unafikiri bila financial stability 4m ikutoke ghafla tu ungekua sawa wewe? Tukiachana na hayo ela kweli sina, maana ela siziokoti na wala sipewi au kuiba kwa mtu natafuta kwa juhudi zangu.
Sasa kelele za nn? Tafuta pesaaa bhana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom