Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Yametimia baada ya yule dada maarufu kwa kutembea na serengeti boys aka dogodogo kumpa kibuti kikali aliyekuwa mpenzi wake yaani Nuhu Mziwanda.
Mtakumbuka mapenzi yao yalibamba sana hasa baada ya Nuhu Mziwanda kujichora tatoo kwenye mkono ya aliyekuwa mpenzi wake ikiwa ni ishara ya kuwa na mapenzi ya dhati kwake.
Chanzo: You heard by Soud Brown
Nachojiuliza, Hivi ile tatoo aliyojichora kana kwamba kamuumba mwenyewe huyo mwanamke itakuweje?
Vijana tuache mambo ya kijinga ambayo hayana msingi...Eti unajiumiza kujichora tatoo ya mwanamke ambaye huna dhamana nae sasa angalia ndo hivyo kashapigwa kibuti na kabaki na kovu lake mkononi.