Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kila Kitu Pale KimekufaTanga kunani kule?!!!
Tanesco mpya iliyozaliwa ya makambaWaswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
Kwani huoni kwel kunauhaba wa mvua?Hi isije ikawa ni mbinu za kuwaludisha kina singa singa kwenye harakati za upigaji,
Wewe unataka umeme au singa singa.Hi isije ikawa ni mbinu za kuwaludisha kina singa singa kwenye harakati za upigaji,
Tunajua sasahivi mnaakili lakini 2025 tishet na kanga zinawatosha mtatupigia kura tuCCM waondoke madarakani.
Kwa hiyo baada ya kifo tu cha magufuli ndo capacity ya generation na consumption ime tilt kwa kiwango cha kuleta uhaba na mgao..? Shame on you majizi
Achana nao akili zao aliondoka nazo jiweBado tu watu tutapinga🤣🤣
Yaani mtu anaona kabisa JUA NA JOTO KALI......
Yaani mtu anaona kabisa WANYAMA kukosa malisho hata kwa majirani zetu Kenya.......
Yaani mtu anaona kabisa hata vimefereji huku mitaani vimekuwa vikavuuuu......ila bado tu anamlaumu mh.Makamba na serikali mpya duuuuh kweli PINGA PINGA FC 🤣🤣🤣
SIEMPRE JMT
Yani hawa wanatuona hatuna akiliSio schedule maintanance tena??
kama uliendesha gari lako bila service kuna siku litakuzimikia barabarani - ndiyo hivi sasa !! tulia ukweli uzungumzwe. Makamba na Tanesco wapo sahihi, miaka 5 no service ya mitambo unategemea nini hapo? washa, washaa, washa sasa matokeo yake ndiyo haya.Kwa hiyo baada ya kifo tu cha magufuli ndo capacity ya generation na consumption ime tilt kwa kiwango cha kuleta uhaba na mgao..? Shame on you majizi
Sasa si ndio hivyo lazima warudi si ndio maana wameachiwa jelaHi isije ikawa ni mbinu za kuwaludisha kina singa singa kwenye harakati za upigaji,
Magufuli alisema watuwanafungulia maji.kwa hilarious mitambo iwashweKwahiyo Magufuli angezuia maji kupungua!!? Tushajua unakoelekea hivyo tuna kupuuza.
kama uliendesha gari lako bila service kuna siku litakuzimikia barabarani - ndiyo hivi sasa !! tulia ukweli uzungumzwe. Makamba na Tanesco wapo sahihi, miaka 5 no service ya mitambo unategemea nini hapo? washa, washaa, washa sasa matokeo yake ndiyo haya.