Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Bado tu watu tutapinga🤣🤣

Yaani mtu anaona kabisa JUA NA JOTO KALI......

Yaani mtu anaona kabisa WANYAMA kukosa malisho hata kwa majirani zetu Kenya.......

Yaani mtu anaona kabisa hata vimefereji huku mitaani vimekuwa vikavuuuu......ila bado tu anamlaumu mh.Makamba na serikali mpya duuuuh kweli PINGA PINGA FC 🤣🤣🤣

SIEMPRE JMT
Taifa lenye miaka 60 jua likiwaka tu miezi mitatu capacity ya uzalishaji inashuka by 21% ? Tulikuwa na kipindi cha masika cha kutosha tu, zimechelewa mvua za vuli halafu unasema tukubali tu mgao uendelee kabisa? This is mediocrity of the highest order
 
Sasa walikuwa wanaficha Nini?
Na waziri wao akaamua kutudanganya?
 
Pesa ya ndege ingetumika kujenga mitambo ya gesi asilia. Maana gesi haiishi leo na haiathiriwi na mabadiliko ya tabia nchi.

Pia mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutegemea jua ingejengwa
 
Tanesco waongo.
Waziri Mkuu Jana tu amesema wawekezaji wake tu umeme ni wauhakika na himilivu.

Tuache utani,Luna mianya ya uzembe imerudi kwa kasi kubwa sana.Ofisi za Tanesco sasa hivi nifoleni kufungiwa mita
Ngoja nikuulize...

Unaamini kwamba kuna ukame, au unakataa?!

Secondly, hivi unafahamu wakati hamna ukame, umeme wa maji ni wastani wa % ngapi ukilinganisha na vyanzo vingine?!
 
Tanesco waongo.
Waziri Mkuu Jana tu amesema wawekezaji wake tu umeme ni wauhakika na himilivu.

Tuache utani,Luna mianya ya uzembe imerudi kwa kasi kubwa sana.Ofisi za Tanesco sasa hivi nifoleni kufungiwa mita
Mambo shagarabagara tu! Full mazuzu kila moja linabweka kivyake unasikiaga ngoja liende!
 
Duh!, Haya maji yalisubiri Magufuri kutoweka ndio yameanza kupungua?.

Kwa nini tangu tupate uhuru hadi karne hii bado tunategemea mito tu, kwanini tusianze kufikiria uzalishaji wa umeme wa upepo kule kwenye Mkoa kama Singida?, Au sehemu zenye Milima?.. Halafu ile gesi toka Mtwara imeishia wapi?.

Nawashauri mnapoanza kukata umeme kila Mkoa msisahau kufanya biashara zenu za kuuza Majenereta maana kwa sasa ni kama vile ufisadi umeanza kurudi.

JPM alikuwa na mapungufu yake mengi, ila kuna mahali alifanya vizuri.
 
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao

View attachment 2015253
Miaka yote baada ya uhuru bado tunakuwa na tatizo ambalo ni reapeated - upungufu wa kina cha maji! Hapo tunakosea sana. Tulitakiwa tuwe na options in case kina cha maji kimepungua. Moja ya option yenye uhakika ni umeme wa gas. Tunge invest vya kutosha kiasi kwamba kukatika kwa umeme ingekuwa historia. Kuhusu waziri sidhani anastahili kubeba lawama as an individual, anatakiwa kuzibeba kama serikali. Naamini hata angekuwa Kalemani au mtangulizi wake tatizo la upungufu wa umeme lingetokea kama sababu ni kupungua kwa kina cha mito na mabwawa kutokana na ukame. Kuanzia sasa tujifunze kuwa na mikakati mbadala linapotokea tatizo la namna hii.
 
Hili analolisema PM kalitoa wapi??
Screenshot_20211118-135914_Chrome.jpg
 
Nadhani hatimae watu ndo wataelewa...

It's just last week nimehoji mara kadhaa hapa, kama sio 57% ya umeme unaotokana na gesi, nchi ingekuwa katika hali gani wakati umeme wa maji ni ONLY around 36%?!

Kiukame kidogo tu, tushaanza kutafutana...

Huku Misukule ikikazana kwamba, kwavile kuna Bwawa la Nyerere linajengwa basi ku-explore vyanzo vingine vya umeme ni kutaka kumhujumu JPM ili ionekane Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai!!

Tuna taifa lenye viumbe wa ajabu sana...
Bwawa la Nyerere ni upotevu wa hela,,umeme wa maji sio wa kutegemea.
 
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao

View attachment 2015253

Kwa nini hayo hayakufanyika wakati umeme upo? Kila kitu ni crisis management
 
Taifa lenye miaka 60 jua likiwaka tu miezi mitatu capacity ya uzalishaji inashuka by 21% ? Tulikuwa na kipindi cha masika cha kutosha tu, zimechelewa mvua za vuli halafu unasema tukubali tu mgao uendelee kabisa? This is mediocrity of the highest order
Mkuu wangu kweli miaka 60 ndio imetupeleka kujenga bwawa la umeme mwalimu Nyerere litakalozalisha megawati 2215.....
 
Back
Top Bottom