Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Taifa lenye miaka 60 jua likiwaka tu miezi mitatu capacity ya uzalishaji inashuka by 21% ? Tulikuwa na kipindi cha masika cha kutosha tu, zimechelewa mvua za vuli halafu unasema tukubali tu mgao uendelee kabisa? This is mediocrity of the highest orderBado tu watu tutapinga🤣🤣
Yaani mtu anaona kabisa JUA NA JOTO KALI......
Yaani mtu anaona kabisa WANYAMA kukosa malisho hata kwa majirani zetu Kenya.......
Yaani mtu anaona kabisa hata vimefereji huku mitaani vimekuwa vikavuuuu......ila bado tu anamlaumu mh.Makamba na serikali mpya duuuuh kweli PINGA PINGA FC 🤣🤣🤣
SIEMPRE JMT