Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Maji ni seasonal so kuna msimu yanapungua ndani ya mwaka hilo halina ubishi.

Lakini mabwawa ya vituo vya kufua umeme yanauwezo wa kutunza maji kwa zaidi ya mwaka.

Knowing it’s a JIC buffer system watu wanasubiri msimu wa mvua upite wanafungulia mabwawa na kutengeneza artificial shortage mpaka mvua zije tena.

Mtanikumbuka JPM
 
Tanesco mpya iliyozaliwa ya makamba
 
Dhambi ya kuwafungulia watu Kesi feki za Ugaidi, zinaanza kujibiwa na Mungu kivitendo.

Kuna haja ya kumuomba Mungu atusamehe makosa yetu ili Mvua za Vuli zianze kutiririka na moto itafurika maji na umeme kurejea.
 
Kama hayo anayosema Zito ni kweli basi Jiwe alikuwa mtu wa fix sana - katudanganya mambo mengi makubwa hasa hili la umeme, Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hadi kufikia hatua kuuita mradi huo hata mwendawazimu hawezi kuukubali, akatudanganya kuhusu Covid kwamba ni vi-mafua mfua - ila vimafua vikamfanyizia...

Aisee, bac sawa tumejifunza !! wacha tuhangaike na hii migawo 2, maji na umeme kwa pamoja na joto hili la dar aisee !!
 
Achana nao akili zao aliondoka nazo jiwe
 
Kwa hiyo baada ya kifo tu cha magufuli ndo capacity ya generation na consumption ime tilt kwa kiwango cha kuleta uhaba na mgao..? Shame on you majizi
kama uliendesha gari lako bila service kuna siku litakuzimikia barabarani - ndiyo hivi sasa !! tulia ukweli uzungumzwe. Makamba na Tanesco wapo sahihi, miaka 5 no service ya mitambo unategemea nini hapo? washa, washaa, washa sasa matokeo yake ndiyo haya.
 

Ni zamu yenu kula kuleni mvimbiwe boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…