Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Dikteta Magufuli alikuwa janga la Taifa! Yeye ndiye aliyesitisha ukamilishaji wa miradi ya umeme wa gesi kutoka Mtwara akaanza kujenga bwawa la Nyerere.

Kwa upumbavu wake amenajisi jina la Nyerere!
 
Muhongo alijaribu kule bungeni kutoa shule juu ya umeme wa maji kutokuwa endelevu, lakini Ndugai na wajinga wenzie akina Kibajaji na Msukuma wakapinga, na kushabikia uwendawazimu.

Umeme wa maji siyo sustainable. Tunazidi kupoteza fedha kufuata mawazo wa wajinga.

Pesa iliyoingizwa kwenye hilo bwawa tungepeleka kwenye gas na makaa ya mawe, tungekuwa tumepiga hatua kubwa.
 
Acha uongo hapa, kuna bwawa gani hapa nchini linaloweza kutunza maji zaidi ya mwaka?
 
...na joto hili la dar kulala bila feni mbona tutakufa.....
 
Tatizo la Prof Muhongo ni mpigaji mno. Kwa hiyo hata akiwa na point muhimu watu wanaikataa wanajua watapigwa fedha kwrnye huo mradi
 
Wewe ndio msukule!

Toka jana nakuuliza tuoneshe ni nani anasema hataki kuanzishwa kwa chanzo kingine cha nishati kwa sababu ya bwawa mbona hutaki kutuonesha?
 
 
Ccm huwa inawafinyanga inavyotaka sababu ya wapumbavu kama wewe!

Nadhani hata Lisu akisoma hii coment yako atatamani kutapika
 
Wewe Nipo huru, embu lete nyago huku, ujionee mgao wa umeme. Mkiwa mnaambiwa vitu au kuelekezwa vitu msijifanye kushupaza shingo. Kuja ujionee madudu yenu ulokuwa unayetetea jana, kwenye uzi wa biashara za majenerator na Solar kupamba moto.
 
Kabla ya jiwe vipi hali ya upatikanaji wa umeme ilikuwaje? Kipindi chake hali ilikuwaje? Baada ya yeye kuondoka hali ikoje?

Muda ni mwalimu mzuri sana!
Uzuri wanaomfagilia Makamba sasa hivi ni wapinzani
 
An aimed shortage to allow investors!

Upuuzi huu unarejea kwa kasi sana, JPM alikuwa mfuatiliaji na alihitaji sababu za kueleweka kwa mambo kama haya.

Wanaosema kuwa enzi za JPM hakukuwa na ukarabati wa mitambo, niwaulize kuwa; hii mitambo ilisubiri JPM aondoke na Kalemani aondolewe madarakani ndipo ianze kuzima?

Mwanzoni makamba alisema ni "Maintenance" tu, mbona wamesema tena maji yamepungua?


Mnarudishwa kwenye enzi za mateso kuliko hata mwendazake
 
Kifupi sio magufuli wala Samia wala Kikwete ndio chanzo cha haya yote!
Tukubali mabadiliko ya hali ya hewa yanachangia kwa kiasi kikubwa.
Lakini sera za nchi yetu bado ni za hovyo sana, na uhakika ni kwamba kama tuliendelea hivi tutasherehekea miaka 60 mingine ya uhuru hali ikiwa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…