Ujinga mtupu. Eti panga kazi. What a shit!!Mkuu hapa issue ni kuanza kupanga kazi zetu Kama Tanesco walivyotushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga mtupu. Eti panga kazi. What a shit!!Mkuu hapa issue ni kuanza kupanga kazi zetu Kama Tanesco walivyotushauri
Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amaniDikteta jambazi Magufuli alizuia kuendelezwa kwa miradi ya gesi!
Kuwa na akili basi ata ujazo wa kisoda tuuKwahiyo Magufuli angezuia maji kupungua!!? Tushajua unakoelekea hivyo tuna kupuuza.
Zile Noah zetu za kwenye makinikia watufanyie substitute ya majeneretaMi naona wamnunulie kila mwananchi generator yake,maana sisi Ni donor country,pesa sio shida kwetu.
Mkuu hii ni excuse ya kuepuka uwajibikaji, maana hiyo mitambo Kama ilikuwa haifanyiwi service ingezimika kabla hajafa.Mwendazake kaendesha mitambo bila service sasa ipo hoi.
Mwenyezi Mungu naye katutandika kwa Jua kali na Ukame kwa sababu ya maovu ya viongozi wetu dhidi ya roho zisizo ha hatia kumlilia (collective responsibility) inatupata na sisi tusio na hatia.
Acha ujinga bwana mdogo inamaana mabwawa yamekauka baada ya makamba kupewa wizara !? Tumia makalio kukalia na sio kazi za kichwa.Makamba ndio amekausha mabwawa
Hilo tu yaani kutolewa Kalemani na mabwawa yakaanza kupungua maji?Inawezekana maneno ya Magufuli kuwa kuna watu wanafanya hujuma kwa kufungulia maji kwenye mabwawa ni kweli kabisa.
Makamba, January Makamba. Shirika hili unaliweza?
Ile plant mpya ya Nyerere haitakuwa na mambo haya ya maji kupungua?Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
Mnadanganywa; ni hivi katika generating station kama Kidatu na Kihansi huwa kuna standby generator wakati wa matengenezo wanazima moja wanawasha standby generator, wakimaliza wanaendelea na lingine hadi maintenance yote inaisha bila kuathiri uzalishaji. Hivyo hao wanaosena JPM alizuia maintanance wanacapitalise ujinga wa watu kutoelewa namna scheduled maintanance inavyofanyika. Hakuna ulazima wa kuzima mitambo ili kufanya maintanance. Kwa ufupi huwa kuna genereta ya/ za ziada ili kutoa mwanya wa matengenezo.kama uliendesha gari lako bila service kuna siku litakuzimikia barabarani - ndiyo hivi sasa !! tulia ukweli uzungumzwe. Makamba na Tanesco wapo sahihi, miaka 5 no service ya mitambo unategemea nini hapo? washa, washaa, washa sasa matokeo yake ndiyo haya.
Itakuwa kile kikundi cha Bashiru, Polepole na Musukuma kinahujumu serikali ya awamu ya sita ili ionekane imeshindwa kufanya kazi vizuri.Wewe Nipo huru, embu lete nyago huku, ujionee mgao wa umeme. Mkiwa mnaambiwa vitu au kuelekezwa vitu msijifanye kushupaza shingo. Kuja ujionee madudu yenu ulokuwa unayetetea jana, kwenye uzi wa biashara za majenerator na Solar kupamba moto.
Aisee yale mambo ya awamu ileee yanarudi kwa kasi sanaa sanaa!!tutakoma walahiWaswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
View attachment 2015253
acha ijinga mkuuNadhani hatimae watu ndo wataelewa...
It's just last week nimehoji mara kadhaa hapa, kama sio 57% ya umeme unaotokana na gesi, nchi ingekuwa katika hali gani wakati umeme wa maji ni ONLY around 36%?!
Kiukame kidogo tu, tushaanza kutafutana...
Huku Misukule ikikazana kwamba, kwavile kuna Bwawa la Nyerere linajengwa basi ku-explore vyanzo vingine vya umeme ni kutaka kumhujumu JPM ili ionekane Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai!!
Tuna taifa lenye viumbe wa ajabu sana...
Mwaka Jana nvua zilizidi na mabwawa yote walifungulia maji yaliyozidi kiwango kinachotakiwa.Makamba ndio amekausha mabwawa
Huyu jamaa ni dalali huyu
Safari hii singa akirudi atatumeza na hivi tulimfunga!Hi isije ikawa ni mbinu za kuwaludisha kina singa singa kwenye harakati za upigaji,