Yametimia, Uganda yazidiwa na madeni

Yametimia, Uganda yazidiwa na madeni

kwani sisi chadema kupunguza ili tumalize kumlipa deni lake mbowe!
 
Utasikia China wamejitokeza wanawaambia 'dont worry baby..I will take care'
Siyo kwa dunia hii ndugu yangu maana maisha ya sasa ni nipe nikupe
 
unatakiwa urudi mirembe!
Lazima mtajua tu
FB_IMG_1536784067475.jpg
 
Tunakopa kupita kiasi huku vyanzo vyetu vya mapato vikiwa ni vile vile!! Na sisi tutafika huko kabla hata miaka 3 ijayo haijaisha.
Yani ww alimradi baya lolote liitokee hii serikali, ndio roho lako libaya litafurahiaa, sasa kwa taarifa yako, we're waay smarter than nyumbu, hilo halitatokea.
Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Yani ww alimradi baya lolote liitokee hii serikali, ndio roho lako libaya litafurahiaa, sasa kwa taarifa yako, we're waay smarter than nyumbu, hilo halitatokea.
Dua la kuku halimpati mwewe.
Jipangeni tu kulipa madeni ndiyo dawa
 
Yani ww alimradi baya lolote liitokee hii serikali, ndio roho lako libaya litafurahiaa, sasa kwa taarifa yako, we're waay smarter than nyumbu, hilo halitatokea.
Dua la kuku halimpati mwewe.
Wewe mwenyewe ni nyumbu kibogoyo
 
Back
Top Bottom