kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
kwani sisi chadema kupunguza ili tumalize kumlipa deni lake mbowe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia China wamejitokeza wanawaambia 'dont worry baby..I will take care'
Sasa unategemea Mchina akmwambia hivyo kuna usalama hapo?Siyo kwa dunia hii ndugu yangu maana maisha ya sasa ni nipe nikupe
unatakiwa urudi mirembe!Mapanga shwaa yetu yatapigwa mnada
Yani ww alimradi baya lolote liitokee hii serikali, ndio roho lako libaya litafurahiaa, sasa kwa taarifa yako, we're waay smarter than nyumbu, hilo halitatokea.Tunakopa kupita kiasi huku vyanzo vyetu vya mapato vikiwa ni vile vile!! Na sisi tutafika huko kabla hata miaka 3 ijayo haijaisha.
Endelea kuwaamini!Leo nimemsikia Naibu waziri wa Fedha akisema wapo makini sana katika kukopa kwa hiyo tusiwe na wasi wasi
Yaa, na pia sisi tunafanya siasa zaidi kuliko uhalisiaAnasahau kuwa hata uganda na zambia walikuwa wanasema hivyo hivyo lkn sasa wanaumbuka
KichaaJiwe jiwe