cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......