Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Kafa Masogange na sambwanda lake, ndo ajabu iwe kwa kimbau mbau huyu?
Kuwa serious bas MM, [emoji23][emoji23][emoji23]
Msambwandaaaaa una maajabu gani coc,

Kuna mtu hapa kamtumia manzi ake 5k, baada ya muamala kusoma dada kasema hatotokea,

Jamaa anapiga simu kila saa bidada a-refund
 
Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.

Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.

Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.

Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.

Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.

......View attachment 3386954View attachment 3386955
Welcome to haven, your seat might be available if you deserve.
Whose Life Is It Anyway.
 
Vitoto vya 2000, pumbaf kabisa, si afe tu, kwanini atuambie, sumu ya panya tshs 500 tu, asisumbue watu, pumbaf
 
Mtu aliye serious na kifo hatoi matangazo na akitoa basi kaamua kufa in a style. Marafiki na ndugu wa karibu wamchunguze.
 
Msambwandaaaaa una maajabu gani coc,

Kuna mtu hapa kamtumia manzi ake 5k, baada ya muamala kusoma dada kasema hatotokea,

Jamaa anapiga simu kila saa bidada a-refund
Poleee yakee, au ni wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajiue tu akawe mmoja wa mabikira wa kobazi huko upeponi
 
Back
Top Bottom