Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Yammi amekutwa na nini? "Siwezi kuishi tena bora nife"

Kwanza ni kosa la jinai kutaka kujitoa uhai...

Siku hizi naona polisi sijui imeacha kudeal na watu wanaotishia kujitoa uhai...!!!
Kwa maisha haya, polisi wafanye kazi zingine.
Kujitoa uhai, haku epukiki. Lol
 
huyu MPUMBAVU TU

stress zake za maisha anataka aonewe huruma, dunia haipo hivo, ukishindwana na mtu lia kidogo tembea mbele

hawezi kuishi anapata nguvu ya kutangazia umma

mziki ni umalaya tu unaojificha
 
CCM wanafurahia vijana w Tanganyika wajadili Mambo kama haya.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Sipendi anavyoongea sijui yupojee hawezi kuwa kawaida tu akaongea normal
 
Back
Top Bottom