Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
Kuna mengi kwenye sanaa hapa bongo. Kuna mapenzi, ushirukina, ushindani, matumizi ya dawa za kulevya, kufilisika na upweke mkali.
Moja kati ya haya ni chanzo cha yote.
Moja kati ya haya ni chanzo cha yote.