KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Mh!Atakusumbua niachie mimi nimkuze
Mh!Atakusumbua niachie mimi nimkuze
Mkuu ulipigaAah wapi alikuwa break naninihiii😩😂
Amini ya kuwa 😂Aaah wapiii?
Mh!!! Ila hongera kwa andiko maridhawa! Tatizo wengi hawajui kuwa wewe ni kichwa. Big upNini sasa N? Lol
Hujambo lakini? Nimekumic
Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Kiki hizo hakuna cha kujiua hapo, uvivu tu wa mleta mada kujiongeza.Mtu mwenyelengo la kujiua hatoagi taarifa!
Afanye jambo lake tu
Wanawake wenzie wako wengi tu, hatuta kwama 😁😁
Walikuwa wanamsifia ana kitovu kizuri Yani kitovu mbonyeo.Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Waja hawapo nyuma kabisa, ktk kumpa counselling.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3386973
HahahahahaUongooo!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu dada kuna kitu kipo on serious note juu yake, ni vile waja huwa tumezoea kuona kiki kwa hawa celebs, thou tunahisi hivyo kwake.Nimeona amefuta post yake
Comments za wadau zimemfanya akili irudi
Lakini serious mtu akiweka post ya namna ile huwa kuna kitu kinamtatiza na kuna uwezekano ni kweli for a moment amefikiria kujitoa uhai
Pole yake kwa anachopitia na Mungu amsaidie avuke salama