KikiMsanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Siku moja moja muwe mnajitolea namimi mnaniuliza nimekutwa na nini!, nyie kila siku mnauliza wasanii wenu tu yaoneni...😅Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Ni mama ntilieHuenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,ndio kwanza namsikia huyo sijui msanii,
Ni msanii wa kitu gani huko Daslam?
Kumbe kina Mama ntilie nao siku hizi ni wasanii?Ni mama ntilie
Wimbo mpya, tulia😂Msanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Diwani viti maalum KariakooHuenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,ndio kwanza namsikia huyo sijui msanii,
Ni msanii wa kitu gani huko Daslam?
Wimbo mpyaJana tu alikuwa Friday night live ya East Africa TV leo amechoka kuishi. makuzi
Kiki.......nyumbo yake mpya.....wanavyodai huko mtandaoniiiMsanii wa kike chipukizi na maarufu, na aliwahi kuwa ktk Lebo ya African Princess iliyoko chini ya msanii Nandy, aitwae Yammi, atoa ujumbe tata ktk page yake ya IG km inavyoonekana hapo pichani chini.
Ikumbukwe huyu binti ni majuzi tyuuh kaondoka ktk Lebo hiyo, na pande zote zikasema kuwa mkataba umeisha, na wanaachana kwa amani km ilivyo makubaliano yao. Japo tetesi zinasema kuwa huyu bidada alikua anatoka kimapenzi na Bill nass ambaye ni msanii pia mume na baba mtoto wa Nandy, ambaye ndiye boss wa lebo hiyo, ndipo Nandy akaamua kusitisha mkataba nae.
Pia hivi karibuni, bidada akawa ana jambo lake, akaalika watu wengi, akiwemo Nandy, lakini hakutokea, na yeye akasema alimpigia simu hakupokea na text hakujibu. Ndipo minong'ono ikaibuka huenda ni kweli, bidada alikua akijivinjari na Bill nenga km Tetesi zinavyosikika.
Sasa leo ndo kastua waja zaidi na huu ujumbe wake, sijui anapitia nini, au kipi kina msibu, maana mtu kufikia hatua ya kutaka kufa, inaonesha haoni ahueni ya yeye kuendelea kuwa hai hapa duniani.
Mie binafsi nampa polee, na asifikie hatua ya kukataa tamaa hivyo, kila jambo linakuja na kupita tyuuh, muhimu apambane nalo hadi mwisho wake.
......View attachment 3386954View attachment 3386955
Kwahiyo akijiua itabidi ufanyike uchaguzi sio? Au hua wanateuliwa?Diwani viti maalum Kariakoo
Kwani hautaki mkuu..?Kumbe kina Mama ntilie nao siku hizi ni wasanii?