Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa Ile mitego kuna mwanaume angeweza kuruka ?Sasa alitegemea Mke mwenza atapokea cm au atajumuika nae ktk hilo tukio?
Mume anauma bhana, Lol. 😂😂😂😂
Eti eeeh? Acha hizo mambo, 😂😂😂😂Kwa Ile mitego kuna mwanaume angeweza kuruka ?
Binafsi Sioni kosa la Billnasi
Sababu ya kutoka kwenye Label ni kutembea na boss Bilnass??Mume anauma bhana, Lol.
Hajatoa kachangiwaWakiuguaga wanaomba kuchangiwa ❓❓
Leo katoa 100m
Cc.
Nenga alikuwa anapiga mzigo?!Sasa alitegemea Mke mwenza atapokea cm au atajumuika nae ktk hilo tukio?
Mume anauma bhana, Lol. 😂😂😂😂
Hili ni swali au jibu?Nenga alikuwa anapiga mzigo?!
Duh!...,hamna mwenye picha ya huyo Yammi...🤣🤣🤣Kwa Ile mitego kuna mwanaume angeweza kuruka ?
Binafsi Sioni kosa la Billnasi
kuna mtu msamalia mwema aliniona ni binti mzuri nina tabia nzuri akaamua anisaidie tu kunilipia milioni 100,
we kama ufungiwi ndani na ccm kuwa kimada wao sijui.Kila jambo unalijua embu tuimbie uo wimboNampongeza msanii mkubwa Yammi kwa uungwana wa kulipa deni... wimbo aliouachia nao ni mkali balaa ingawa sijausikiliza. Kuhusu msamaria asiyejulikana naye nampongeza kwa kumlipia mtoto mzuri Yammi hilo deni. WanaJF mnaodhani 100m imelipwa kwa ahadi ya mbususu nasema MPUUZWE.
Huyu nae kishaanza kuchanganya wananzengo tunajua katika bure asa ansema kalipa🤣🤣Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess
"Kwenye uzinduzi wa wimbo wangu niliwaalika Nandy na Billnass kupitia uongozi wangu mpya, pia Nandy ni msanii mkubwa atakuwa na mambo mengi au kazi nyingi ameshindwa kufika, na naelewa ana mambo mengi ana familia ana mtoto kwahiyo nadhani alikuwa na majukumu mengine kwahiyo ni sawa tu"
"Nilijaribu kumpigia zaidi ya siku mbili nikawa simpati, hapokei simu nadhani alikuwa busy hata mimi huwa napigiwa simu na watu nakuja kukumbuka baada ya wiki kwahiyo naelewa"
"Kuhusu kutoka kwa Nandy sijalipiwa na label yoyote bali nimelipa, kuna mtu msamalia mwema aliniona ni binti mzuri nina tabia nzuri akaamua anisaidie tu kunilipia milioni 100, alikuwa anataka pesa nyingi lakini nikamuomba kama dada akapunguza''
Soma, Pia: Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess
Msamalia atoe ml 100 bila kuku To*mba
Wakiuguaga wanaomba kuchangiwa ❓❓
Leo katoa 100m
Cc.