cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
wimbo aliouachia nao ni mkali balaa ingawa sijausikiliza
Swahili imenishinda hapa... Nieleweshe pliz
wimbo aliouachia nao ni mkali balaa ingawa sijausikiliza
Naomba nikazie tyuuh, 📍Sababu ya kutoka kwenye Label ni kutembea na boss Bilnass??
yaan watajichanganya zaidi hawa, wee subiri, kwanza hapo katoka kwa influence ya Nenga, kuepusha sharii.Mwanzo si alisema mkataba umeisha ulikuwa wa miaka 2? Tena ameuvunja???!!!
Duh, basi hatari sana!Naomba nikazie tyuuh
Zipo teleeee,Duh!...,hamna mwenye picha ya huyo Yammi...🤣🤣🤣
Tena mnoo.Duh, basi hatari sana!
Umekazania anauma, unaye lakini?? Nakumbuka kuna jamaa sijui alikufanyia nini, ukaenda kwa babu! Sasa yule jamaa tu, hakuwa mume, unakumbuka ile story??Mume anauma bhana
Kuna clip niliiona, bibie anamwambia Nenga, msalimie mke mwanzangu hapo ni saa 6 ya usiku. Nenga akamjibu naenda studio. Nandy ana wivu sana na vile kafa kaoza kwa Nenga. Hivi wanaendeleza? Aisee basi Nandy ndiyo maana vimafumbo vingi, ana msemo wake hatufanani 🤣yaan watajichanganya zaidi hawa, wee subiri, kwanza hapo katoka kwa influence ya Nenga, kuepusha sharii.
Hakuna msamaria mwema yoyote, Nenga akaamua kuua soo kimya, bidada aondoke tyuh.
Afu kumbe bado wanaendekeza libeneke. Ndo maana mama mjengo kaamua awe anavua na Pete ya ndoa, ndo imepotea kweli au uongo wanajua wenyewee.
Mume anauma bhana, Lol 😂😂😂😂😂
Hawa wasanii wana maisha feki sana, milioni mia moja msamaria mewmaMsamalia atoe ml 100 bila kuku To*mba
Yaan mie mtu akigusa kwa mume wangu (nikiwa nae) wataondoka wote, yeye na mchepuko.Umekazania anauma, unaye lakini?? Nakumbuka kuna jamaa sijui alikufanyia nini, ukaenda kwa babu! Sasa yule jamaa tu, hakuwa mume, unakumbuka ile story??
Vijembe siku hizi, yeye na mwenzie Mimi mars, sijui wamekuaje, nlikua nawaona washua kumbe walaaa.Kuna clip niliiona, bibie anamwambia Nenga, msalimie mke mwanzangu hapo ni saa 6 ya usiku. Nenga akamjibu naenda studio. Nandy ana wivu sana na vile kafa kaoza kwa Nenga. Hivi wanaendeleza? Aisee basi Nandy ndiyo maana vimafumbo vingi, ana msemo wake hatufanani 🤣
Duh, wewe mtoto mbona una hatari hivyo?? Sasa kuna mwanaume atakuwa na mtu mmoja tu?? Kubali hali halisi ,bibie hauwezi kuwa peke yako.Yaan mie mtu akigusa kwa mume wangu (nikiwa nae) wataondoka wote, yeye na mchepuko.
Yapo mazezeta mengi tu yanaweza kufanya hilo.Hata kwa ku**mba pekee hakuna mtu wa kununua K kwa milioni 100
Kuna faida yoyote uliipata?? Hujutii??Yule jamaa nilimkomeshaa, na bado atateseka sana mbwa yule.
Sitamkataza kuchepuka, ila akae kimastaa, nikishajua, mie huwa ni vitendo tyuh, siwezago kulumbana ktk mapenzi.Duh, wewe mtoto mbona una hatari hivyo?? Sasa kuna mwanaume atakuwa na mtu mmoja tu?? Kubali hali halisi ,bibie hauwezi kuwa peke yako.
Harmonize alihonga Range baada ya kuvunjika uhusiano akataka range lake unadhani ni bei gani lile mashine watu wanajenga magorofa kisa mbususu unasema 100m wahuni wanajilipua wanawafungulia biashara kubwa hao watoto warembo mazee upo Dunia ya wapi..Hata kwa ku**mba pekee hakuna mtu wa kununua K kwa milioni 100
Faida nilipata moyo wangu kuwa na amani na furaha, sijutii kamwee.Kuna faida yoyote uliipata?? Hujutii??
Hajui huyo, em msanue.Harmonize alihonga Range baada ya kuvunjika uhusiano akataka range lake unadhani ni bei gani lile mashine watu wanajenga magorofa kisa mbususu unasema 100m wahuni wanajilipua wanawafungulia biashara kubwa hao watoto warembo mazee upo Dunia ya wapi..