win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
ila coca,,,😁🙆♀️ una story za uongo bintiHili ni swali au jibu?
ila coca,,,😁🙆♀️ una story za uongo bintiHili ni swali au jibu?
Watu wanasafiri Nchi na Nchi kufata mzigo wengie wanasafirisha nyama kutoka Nchi moja kwenda Nchi nyingine yeye yupo anasema hakuna wa kutoa hizo hela 2025 daah..Hajui huyo, em msanue.
Sema wanaume tutafuteni hela tutatue shida ndogo ndogo kama hizi kwa watoto wazuri.Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess
"Kwenye uzinduzi wa wimbo wangu niliwaalika Nandy na Billnass kupitia uongozi wangu mpya, pia Nandy ni msanii mkubwa atakuwa na mambo mengi au kazi nyingi ameshindwa kufika, na naelewa ana mambo mengi ana familia ana mtoto kwahiyo nadhani alikuwa na majukumu mengine kwahiyo ni sawa tu"
"Nilijaribu kumpigia zaidi ya siku mbili nikawa simpati, hapokei simu nadhani alikuwa busy hata mimi huwa napigiwa simu na watu nakuja kukumbuka baada ya wiki kwahiyo naelewa"
"Kuhusu kutoka kwa Nandy sijalipiwa na label yoyote bali nimelipa, kuna mtu msamalia mwema aliniona ni binti mzuri nina tabia nzuri akaamua anisaidie tu kunilipia milioni 100, alikuwa anataka pesa nyingi lakini nikamuomba kama dada akapunguza''
Soma, Pia: Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess
Ni Jambo la muda tuMmmmh!!!
Nawe PhD somaga uelewege
Salamaleko ☺️Hajatoa kachangiwa
Konde mshamba wa mapenzi Mkude wa Yanga,QuickRocker na Kitale wamepiga Kajala hawaja honga hata baiskeli.Harmonize alihonga Range baada ya kuvunjika uhusiano akataka range lake unadhani ni bei gani lile mashine watu wanajenga magorofa kisa mbususu unasema 100m wahuni wanajilipua wanawafungulia biashara kubwa hao watoto warembo mazee upo Dunia ya wapi..
Hakuna anachapa pisi bure faza unawajua majambazi ya mjini au unayasikia..Konde mshamba wa mapenzi Mkude wa Yanga,QuickRocker na Kitale wamepiga Kajala hawaja honga hata baiskeli.
Umepata faida gani kuandika hiyo pumba?we kama ufungiwi ndani na ccm kuwa kimada wao sijui.Kila jambo unalijua embu tuimbie uo wimbo
Wapo na sometimes mpaka wanahongwa wao, Mkude muhuni wa Kinondoni na mwenzake Kitale hawana ulimbukeni huo.Hakuna anachapa pisi bure faza unawajua majambazi ya mjini au unayasikia..
Michango ya kwenda INDIA🤣Wakiuguaga wanaomba kuchangiwa ❓❓
Leo katoa 100m
Cc.
Ila kale katoto kanaonekana katamu,yaan watajichanganya zaidi hawa, wee subiri, kwanza hapo katoka kwa influence ya Nenga, kuepusha sharii.
Hakuna msamaria mwema yoyote, Nenga akaamua kuua soo kimya, bidada aondoke tyuh.
Afu kumbe bado wanaendekeza libeneke. Ndo maana mama mjengo kaamua awe anavua na Pete ya ndoa, ndo imepotea kweli au uongo wanajua wenyewee.
Mume anauma bhana, Lol
Hapo ndio unagundua 100m ni ILLUSION.Michango ya kwenda INDIA🤣
Wachaa wee, 😂😂😂😂Ila kale katoto kanaonekana katamu,
Hapo sasa, LolWatu wanasafiri Nchi na Nchi kufata mzigo wengie wanasafirisha nyama kutoka Nchi moja kwenda Nchi nyingine yeye yupo anasema hakuna wa kutoa hizo hela 2025 daah..
Lete zako za kweli mwayaaa, waja Wa JF wadeveleke nazo.ila coca,,,😁🙆♀️ una story za uongo binti