Yammi: Nimelipa TSh. Milioni 100 kuondoka kwa Nandy

Sema wanaume tutafuteni hela tutatue shida ndogo ndogo kama hizi kwa watoto wazuri.
 
Harmonize alihonga Range baada ya kuvunjika uhusiano akataka range lake unadhani ni bei gani lile mashine watu wanajenga magorofa kisa mbususu unasema 100m wahuni wanajilipua wanawafungulia biashara kubwa hao watoto warembo mazee upo Dunia ya wapi..
Konde mshamba wa mapenzi Mkude wa Yanga,QuickRocker na Kitale wamepiga Kajala hawaja honga hata baiskeli.
 
Huyo msamalia alietoa mil100 ni mimi hapa..Mwambieni na Zuchu akitaka kutoka DABILIUSIBII Ntamlipia mimi
 
Ila kale katoto kanaonekana katamu,
 
ila coca,,,πŸ˜πŸ™†β€β™€οΈ una story za uongo binti
Lete zako za kweli mwayaaa, waja Wa JF wadeveleke nazo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…