Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe tena bali meneja binafsi kwa kuwa wanaachia nyimbo zao solo na kuzi promote moja moja mkubwa na wanawe haitaweza...Hayo yamesemwa na Beka amabaye alikuwa ni mmoja wa wanaounda kundi hilo
 
Hee kuna usalama kweli wa kupewa zile nyumba zao? Maana majina yao makubwa ika mafanikio kiuchumi hawana

Mnene Fella lazima awafanyie figisu kwenye nyumba zile.

Dalili za kuachana na Fella niliziona mapema sana, hasa alipoanzisha kundi lingine la Mkubwa na Wanawe nao wakawa wanaimba style ile ile ya kina Aslay.
 
Hapo ambaye hatoteteleka ni Aslay hao wengine ndo mwisho wao kimuziki haswa huyo Enock Bella

Maromboso na Beka imba yao ni ya kawaida sana sidhani kama wanaweza kutoa hit songs

Huyo Enock Bella bora arudi kukata mauno ndo fani yake mziki ndo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…