Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe tena bali meneja binafsi kwa kuwa wanaachia nyimbo zao solo na kuzi promote moja moja mkubwa na wanawe haitaweza...Hayo yamesemwa na Beka amabaye alikuwa ni mmoja wa wanaounda kundi hilo

Tuliyajua na kuyategemea hayo mapema sana na lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye umefika. Na wala wasizunguke zunguke katika kusema ukweli mara sijui Mkubwa na Wanae hawatakuwa nao tena bali ' Watoto wa Mjini ' tunajua kwanini sasa hali imekuwa ' tete '. Hao ' Vijana ' walikuwa ni ' Mabegi / Mapunda ' wa akina Fella na Kundi lake ukimjumuisha Yule ' Taita ' wao aliyekimbilia South Africa Mtoto wa aliyekuwa ' Kada ' mmoja hivi ' maarufu ' katika Chama fulani hapa Tanzania. Baada ya ' ujio ' wa MWANAMUME Rais JPM na kuanza ' Kampeni ' kabambe ya kupambana na matumizi na uingizaji dawa za Kulevya ' Ngada / Powder ' nchini Tanzania ' Biashara ' sasa imekuwa ngumu hivyo akina Mkubwa na Wanawe ( Fella ) wameshindwa kuwaendesha na ' Pesa ' sasa hawana tena ila wanaishi tu ' kiujanja ujanja / kimjinimjini '.Watawadanganyeni nyie tu msiojua ' mchezo ' wao huo mchafu ila siyo sisi wenye jiji letu hili.
 
Basi CCM na makada wao ni wauza unga eeh, maana kila mtu anaguswa kila mtu anahusika loh pole sana kwa muuzaji Fella, najua Aslay na Beka wataweza ila yule mwenye sauti ya kibezi Enock Bella mmh nna shaka afadhali ht maromboso
 
Itakua akina aslay walizinduka na kuulizia maslah yao zaidi,jamaa akamaind na kuleta mbadala wao

Sio vizuri kuwatumia watoto wa watu kwa maslah yake binafsi,ndio maana alitibuana na J nature
Mnene Fella lazima awafanyie figisu kwenye nyumba zile.

Dalili za kuachana na Fella niliziona mapema sana, hasa alipoanzisha kundi lingine la Mkubwa na Wanawe nao wakawa wanaimba style ile ile ya kina Aslay.
 
Tuliyajua na kuyategemea hayo mapema sana na lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye umefika. Na wala wasizunguke zunguke katika kusema ukweli mara sijui Mkubwa na Wanae hawatakuwa nao tena bali ' Watoto wa Mjini ' tunajua kwanini sasa hali imekuwa ' tete '. Hao ' Vijana ' walikuwa ni ' Mabegi / Mapunda ' wa akina Fella na Kundi lake ukimjumuisha Yule ' Taita ' wao aliyekimbilia South Africa Mtoto wa aliyekuwa ' Kada ' mmoja hivi ' maarufu ' katika Chama fulani hapa Tanzania. Baada ya ' ujio ' wa MWANAMUME Rais JPM na kuanza ' Kampeni ' kabambe ya kupambana na matumizi na uingizaji dawa za Kulevya ' Ngada / Powder ' nchini Tanzania ' Biashara ' sasa imekuwa ngumu hivyo akina Mkubwa na Wanawe ( Fella ) wameshindwa kuwaendesha na ' Pesa ' sasa hawana tena ila wanaishi tu ' kiujanja ujanja / kimjinimjini '.Watawadanganyeni nyie tu msiojua ' mchezo ' wao huo mchafu ila siyo sisi wenye jiji letu hili.
Wewe kilakitu unajifanya unajua, umbeaumbea utaolewa kabla ya umri wako
 
Sina wasiwasi na Beka pamoja na Asley .... kwa waliobaki kutoka km solo artist ni changamoto kwao...
 
Hapo atakayekwama ni yule bela sijui ataimba nini masikini..yeye anajua kujikakamua tu kutoa sauti nzito na kusema maneno mawili basi kamaliza.. bendi ilikua inamuokoa..au labda aimbe una rambo remix
Una rambo remix Hahahaha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe kilakitu unajifanya unajua, umbeaumbea utaolewa kabla ya umri wako

Naendelea kukupa ONYO kuwa nadhani ' unalolitaka ' kutoka Kwangu utalipata very soon. Halafu ulivyo ' Mpumbavu ' na unavyoniogopa umeamua uwe ' unanikabili ' kwa kutumia ID yako hii nyingine badala ya ile nyingine iliyozoeleka. Kuwa Kwangu ' Knowledgeable ' kusikufanye ' unichukie ' badala yake tumia muda huo kujiuliza kwanini ulizaliwa ukiwa ' Mpumbavu ' hivyo na siku zote hata Kisaikolojia wanasema ukiona Mtoto ana ' maarifa ' na ' mwerevu ' basi jua ya kwamba hata Wazazi wake nao walikuwa na ni ' Vipanga ' sana na opposite yake ni kama ulivyo Wewe. Utanichukia sana GENTAMYCINE kwa kuwa na ' maarifa ' ya kuyajua mambo mengi lakini sitobadilika na nitakuwa hivi hivi na nashukuru Mwenyezi Mungu wapo wanaonielewa na kunikubali.

Hakuna kitu kibaya duniani kama kuwa na ' Uchi ' wa akili ulionao. Tafadhali naomba ukirudi tena Kwangu uje na ile ID yako tunayoijua humu na iliyozoeleka na wengi. Mbona Mimi sibadili ID natiririka na naserereka na hii hii tu sasa iweje Wewe uniogope na kila uchao ukitaka kunikabili unakuja na ID zingine? Sikujua kama kumbe GENTAMYCINE ni ' tishio ' hivi.
 
3 wataweza Ku survive, kasoro yule mmoja tu ambaye anaimba Bass!
Tusubiri anaweza kutuprove wrong, Olomide wa Nigeria ana kibezi kama cha huyu dogo ila anaimba vizuri na raia wanamuelewa sana
 
Mkubwa Fela awakabidhi tu nyumba zao maana walipofikia si haba.
Sahau...!

Subiri tu kusikia kesi zisizoisha mahakamani, kuzushiana na kutupiana maneno ya kiswahili.

Hii ni Tanzania mkuu
 
Wewe kilakitu unajifanya unajua, umbeaumbea utaolewa kabla ya umri wako
Dah...yaani cjawahi kuona mtu mjuaji km hyu jamaa ukija mwenye siasa atajifanya anafahamiana na nani cjui kwenye mpira nako atajifanya alicheza na nani cjui hakuna kiongozi wa nchi ama mtu maarufu asofahamiana na Gentamycine eti "wenye jiji letu" haaahaaaaaa na babu yangu mzee Mtupa asemaje?
 
Back
Top Bottom