Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kundi la muziki wa kizazi kipya lililofanya vizuri ndani ya miaka kadhaa la Yamoto Band hatimaye limesambaratika na sasa kila msanii anafanya kazi kimpango wake na hawasimamiwi na Mkubwa na wanawe tena bali meneja binafsi kwa kuwa wanaachia nyimbo zao solo na kuzi promote moja moja mkubwa na wanawe haitaweza...Hayo yamesemwa na Beka amabaye alikuwa ni mmoja wa wanaounda kundi hilo
Basi CCM na makada wao ni wauza unga eeh, maana kila mtu anaguswa kila mtu anahusika loh pole sana kwa muuzaji Fella, najua Aslay na Beka wataweza ila yule mwenye sauti ya kibezi Enock Bella mmh nna shaka afadhali ht marombosoTuliyajua na kuyategemea hayo mapema sana na lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye umefika. Na wala wasizunguke zunguke katika kusema ukweli mara sijui Mkubwa na Wanae hawatakuwa nao tena bali ' Watoto wa Mjini ' tunajua kwanini sasa hali imekuwa ' tete '. Hao ' Vijana ' walikuwa ni ' Mabegi / Mapunda ' wa akina Fella na Kundi lake ukimjumuisha Yule ' Taita ' wao aliyekimbilia South Africa Mtoto wa aliyekuwa ' Kada ' mmoja hivi ' maarufu ' katika Chama fulani hapa Tanzania. Baada ya ' ujio ' wa MWANAMUME Rais JPM na kuanza ' Kampeni ' kabambe ya kupambana na matumizi na uingizaji dawa za Kulevya ' Ngada / Powder ' nchini Tanzania ' Biashara ' sasa imekuwa ngumu hivyo akina Mkubwa na Wanawe ( Fella ) wameshindwa kuwaendesha na ' Pesa ' sasa hawana tena ila wanaishi tu ' kiujanja ujanja / kimjinimjini '.Watawadanganyeni nyie tu msiojua ' mchezo ' wao huo mchafu ila siyo sisi wenye jiji letu hili.
Mnene Fella lazima awafanyie figisu kwenye nyumba zile.
Dalili za kuachana na Fella niliziona mapema sana, hasa alipoanzisha kundi lingine la Mkubwa na Wanawe nao wakawa wanaimba style ile ile ya kina Aslay.
Wewe kilakitu unajifanya unajua, umbeaumbea utaolewa kabla ya umri wakoTuliyajua na kuyategemea hayo mapema sana na lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye umefika. Na wala wasizunguke zunguke katika kusema ukweli mara sijui Mkubwa na Wanae hawatakuwa nao tena bali ' Watoto wa Mjini ' tunajua kwanini sasa hali imekuwa ' tete '. Hao ' Vijana ' walikuwa ni ' Mabegi / Mapunda ' wa akina Fella na Kundi lake ukimjumuisha Yule ' Taita ' wao aliyekimbilia South Africa Mtoto wa aliyekuwa ' Kada ' mmoja hivi ' maarufu ' katika Chama fulani hapa Tanzania. Baada ya ' ujio ' wa MWANAMUME Rais JPM na kuanza ' Kampeni ' kabambe ya kupambana na matumizi na uingizaji dawa za Kulevya ' Ngada / Powder ' nchini Tanzania ' Biashara ' sasa imekuwa ngumu hivyo akina Mkubwa na Wanawe ( Fella ) wameshindwa kuwaendesha na ' Pesa ' sasa hawana tena ila wanaishi tu ' kiujanja ujanja / kimjinimjini '.Watawadanganyeni nyie tu msiojua ' mchezo ' wao huo mchafu ila siyo sisi wenye jiji letu hili.
Yamoto band? Wakafie mbele huko. Mwaka 2015 walitumika Na maccm kumuingiza sizonje ikulu
Una rambo remix HahahahaHapo atakayekwama ni yule bela sijui ataimba nini masikini..yeye anajua kujikakamua tu kutoa sauti nzito na kusema maneno mawili basi kamaliza.. bendi ilikua inamuokoa..au labda aimbe una rambo remix
3 wataweza Ku survive, kasoro yule mmoja tu ambaye anaimba Bass!huyo maromboso atarap-rap kapuni.
Wewe kilakitu unajifanya unajua, umbeaumbea utaolewa kabla ya umri wako
abadili staili aanze kuchana sasa3 wataweza Ku survive, kasoro yule mmoja tu ambaye anaimba Bass!
Itakua akina aslay walizinduka na kuulizia maslah yao zaidi,jamaa akamaind na kuleta mbadala wao
Sio vizuri kuwatumia watoto wa watu kwa maslah yake binafsi,ndio maana alitibuana na J nature
Tusubiri anaweza kutuprove wrong, Olomide wa Nigeria ana kibezi kama cha huyu dogo ila anaimba vizuri na raia wanamuelewa sana3 wataweza Ku survive, kasoro yule mmoja tu ambaye anaimba Bass!
Sahau...!Mkubwa Fela awakabidhi tu nyumba zao maana walipofikia si haba.
Dah...yaani cjawahi kuona mtu mjuaji km hyu jamaa ukija mwenye siasa atajifanya anafahamiana na nani cjui kwenye mpira nako atajifanya alicheza na nani cjui hakuna kiongozi wa nchi ama mtu maarufu asofahamiana na Gentamycine eti "wenye jiji letu" haaahaaaaaa na babu yangu mzee Mtupa asemaje?Wewe kilakitu unajifanya unajua, umbeaumbea utaolewa kabla ya umri wako