Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

Yaani hilo jamaa sijui linaona fahari gani kutamba linajua kilakitu humu JF wakati linatumia fake ID, angalau hata wakina Le Mbururaz wanautumia huo umuch know wao na kujipendekeza kutengeneza hela. Sometimes anajifanya Jasusi kutoka Rwanda, yaani ilimradi tu nayeye aonekane mtu
Cku akiamua kuzungumzia usalama wa nchi ndio utachokaaaaa ahamie kwenye tasnia ya utangazaji ss utabaki mdomo wazi mchambuzi yy mkurugenzi wa vipindi yy watangazaji wooooote hawana ethics za utangazaji ila yy ndie anaejua linakera sana hili jamaa!
 
We unajulikana unapenda ligi.haya chukua kikombe [emoji471] umeshinda.
Eti ningezaliwa ikulu,kwani magogoni kuna wadi ya wazazi?
Kumbe umezaliwa Agha Khan Mkuu? Mimi nilidhani labda umezaliwa IKULU ndani pengine ndiyo ningetishika nawe kidogo.
Ungalikuwa mtoto wa mjini ungalijua kuwa unga unaingia na kutoka bongo kama kawaida.Alafu hao madogo show za nje walizofanya tokea wanaanza mpaka leo hazifiki 10,sasa sjui huo upunda walikuwa wanaufanyia wapi
Weraaaa weraaaaa wanaume Wa Dar hao
 
Cku akiamua kuzungumzia usalama wa nchi ndio utachokaaaaa ahamie kwenye tasnia ya utangazaji ss utabaki mdomo wazi mchambuzi yy mkurugenzi wa vipindi yy watangazaji wooooote hawana ethics za utangazaji ila yy ndie anaejua linakera sana hili jamaa!
Oyooooooo
 
Kuna wimbo flani hivi wameimba hawa jamaa kama wa maombolezo hivi afu wanataja hadi kina tx moshi na gurumo! Mwenye nao plz

Wasanii:Ya Moto Band
Wimbo:Ngurumo
IMG_3334.jpg

Naamini unajua cha kufanya baada ya hapo,mambo za kutumiana umu hakuna maana tukitumiana tu basi ID zinakua uchi rasmi....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mboso Khan ni mtu mbaya sana.Sina wasiwasi nae najua ni RayVany wa siku zijazo
 
Dah.watu wengi wanaonekana kupoteza matumaini na BASE BOY enock bella, ila save my words guys huyu dogo atakuja kuwashangaza watu na base lake...huyu jamaa upekee wake ndo utambeba mpaka mushangae,kwani nay wa mitego ana sauti nyororo kama hao kina aslay?mbona ana kiki fresh tu...subirini goma la kitaa litoke kutoka kwa sauti dume...hahahahaaaa
 
Muda wa kubebana umeisha.....Sasa kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Tishio kwa nani ww? acha kumpigapiga mikwara tatzo we kujitia mjiaji kwa kila ktu katika hali ya kawaida haiwezekani mtu atajua kila ktu!
Mkuu achana na huyu jamaa, anajidai mjuaji saana, kila kitu yy anakijua. Aliparamia thread yangu hiko MMU utasema yake. Anatafuta sifa JF achana nae
 
Kwa ufupi aslay akitoka yamoto basi ndo mchezo kwishney...Labda kwa mbali sana beka atakuwa level za kina nuh mziwamnda, Yule mwenye bezi na mwenzake hawana tofauti na kayumba maana mziki ndo ushawatema
 
Haaaa haaaa,
Mkuu achana na huyu jamaa, anajidai mjuaji saana, kila kitu yy anakijua. Aliparamia thread yangu hiko MMU utasema yake. Anatafuta sifa JF achana nae
Halafu hataki kishindwa
 
Mbona ilikuwa inatangazwa kuwa nyumba zao ziko tayari wanasubiri kuhamia tu!?
Hee kuna usalama kweli wa kupewa zile nyumba zao? Maana majina yao makubwa ila mafanikio kiuchumi hawana
 
Game ya muziki haitabiriki . Pale unapodhani kuwa solo ndio kutoboa inaweza kuwa kinyume chake.
Aslay atafanikiwa zaidi kimuziki akiwa solo, wasiwasi wangu ni kwa wengine, ila Beka naye kaniprove wrong huu wimbo wake unaosema sijui 'unitupe ununio' uko poa sana sikutegemea
 
Back
Top Bottom