Naendelea kukupa ONYO kuwa nadhani ' unalolitaka ' kutoka Kwangu utalipata very soon. Halafu ulivyo ' Mpumbavu ' na unavyoniogopa umeamua uwe ' unanikabili ' kwa kutumia ID yako hii nyingine badala ya ile nyingine iliyozoeleka. Kuwa Kwangu ' Knowledgeable ' kusikufanye ' unichukie ' badala yake tumia muda huo kujiuliza kwanini ulizaliwa ukiwa ' Mpumbavu ' hivyo na siku zote hata Kisaikolojia wanasema ukiona Mtoto ana ' maarifa ' na ' mwerevu ' basi jua ya kwamba hata Wazazi wake nao walikuwa na ni ' Vipanga ' sana na opposite yake ni kama ulivyo Wewe. Utanichukia sana GENTAMYCINE kwa kuwa na ' maarifa ' ya kuyajua mambo mengi lakini sitobadilika na nitakuwa hivi hivi na nashukuru Mwenyezi Mungu wapo wanaonielewa na kunikubali.
Hakuna kitu kibaya duniani kama kuwa na ' Uchi ' wa akili ulionao. Tafadhali naomba ukirudi tena Kwangu uje na ile ID yako tunayoijua humu na iliyozoeleka na wengi. Mbona Mimi sibadili ID natiririka na naserereka na hii hii tu sasa iweje Wewe uniogope na kila uchao ukitaka kunikabili unakuja na ID zingine? Sikujua kama kumbe GENTAMYCINE ni ' tishio ' hivi.