PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.

Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.

Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.

Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
 
No reforme no elector
 
Attachments

  • image-2.jpg
    image-2.jpg
    112.8 KB · Views: 36
Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.

Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.

Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.

Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
Hiyo imepangwa
Kuwa vijana wa CCM waaandaliwe ili wakafanye fujo na Chadema wata react kuwa siyo chama cha demokrasia kwa sababu haisikilizi wanachama wake wanaosema "Oktoba tuna tick" ambao kimsingi ni wa CCM.
Kitendo cha Chadema ku react negative kitafanya msajili asitishe kwa muda shughuli za chama kwa kigezo cha kulinda amani na polisi watawanyima vibali kwa kigezo cha itelejensia ya polisi kuhusu ukosefu wa usalama.
Heche inabidi awe makini sana
 
Wametimiza kupitia mahakama.
 
Na wametekeleza hii dawa ya NO REFORMS NO ELECTION kwakweli inahitaji mgonjwa awe na kilo nyingi CCM wamena wabadili dawa kuipromote CHAUMMA iiliyopuuzwa .

Wala haitowasaidia mashambulizi ya kimtandao ndio yatazidi na kule ndio hawapawezi kabisa.
 
Bila shaka kwa sasa utajiita mtabiri. Ebu tutabirie na Gwajima, yupo anashtaki kwa Malaika Gabriel au ndio yuko kwa Yesu sasa hivi? Maana tualiambiwa huwezi kwenda kwa Baba bila kupita kwake! Ahahahahaha!!
 
Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.

Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.

Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.

Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
NRNE
 
Na wametekeleza hii dawa ya NO REFORMS NO ELECTION kwakweli inahitajimgonjwa awe na kilo nyingi CCM wamena wabadili dawa kuipromote CHAUMMA iiliyopuuzwa .

Wala haitowasaidia mashambulizi ya kimtandao ndio yatazidi na kule ndio hawapawezi kabisa.
Dawa mpaka iwaingie......kwa sasa upinzani wa kweli uko sokoni
 
Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.

Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.

Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.

Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
We takataka usitafute kiki za kipumbavu. Umekaa kijiweni hapo umebugia kisungura chako eti za ndani. We ni km msukule tu. Ni taahira tu anaweza kujiwekea kamba shingoni? Danganya wehu wenzio
 
Hata elimu yake tu ni ya mashaka mashaka. Haijulikani alisoma wapi? Wengine wanamuita dr. Alipata wapi PhD yule? Anaongea kama yupo kwenye kitchen part
Masters amesomea Manchester University, mojawapo ya vyuo vikuu bora Uingereza, una swali lingine.
 
Hiyo imepangwa
Kuwa vijana wa CCM waaandaliwe ili wakafanye fujo na Chadema wata react kuwa siyo chama cha demokrasia kwa sababu haisikilizi wanachama wake wanaosema "Oktoba tuna tick" ambao kimsingi ni wa CCM.
Kitendo cha Chadema ku react negative kitafanya msajili asitishe kwa muda shughuli za chama kwa kigezo cha kulinda amani na polisi watawanyima vibali kwa kigezo cha itelejensia ya polisi kuhusu ukosefu wa usalama.
Heche inabidi awe makini sana
Haya nenda sasa kaharishe
 
Mbegu nzuri tayari imekwisha pandwa katika maeneo yote walikokwisha pitia CHADEMA. Kilichobaki ni kumwagilia tu maji ili iweze kuota vizuri na kustawi.
Huko kumwagiliwa na kutunzwa vizuri hakuhitaji tena viongozi wakuu wa chama kufanya mikutano ya majukwaani.
Sasa inabidi wajikite kwenye mikakati ya kuhakikisha mbegu hiyo inasambaza mizizi yake kila mahali.

Ili kuepuka hayo mnayo yaeleza kwenye mada; sasa CHADEMA wabadili mbinu.
NORNOE imekwisha jijengea nguvu yake ya kutosha kuendelea kusambaa kama moto wa nyika. Viongozi sasa wakae na kupanga namna ya kui-'manage'; ili kufikia lengo lake.

Hakuna sababu ya kuwapa mwanya Samia na Genge lake kuivuruga juhudi hii ambayo sasa ipo kwa wananchi wenyewe.
 
CCM imeshatepeta inatumia kila aina ya njama ikiwezekqna kuifuta CDM ila kila wanapogusa panazibwa. Msajili na yeye katoa onyo. Kila mambo yanapangwa na mifumo miwili ama mitatu ili kisomana wafanye tukio. Mfano 1. Fanyeni fuj 2. Police kamateni viongozi wao zuieni mikutano yao kwa muda, Msajili toa onyo kali, 4. Mahakama malizeni kazi.

Ni kweli mikutano ya sasa inavamiwa na wahuni ambao ni UVCCM na wengine ni wana usalama - hii inaitwa Operation okoa mama.

Hii nayo itashidwa kama zingine.
 
Back
Top Bottom