Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hata elimu yake tu ni ya mashaka mashaka. Haijulikani alisoma wapi? Wengine wanamuita dr. Alipata wapi PhD yule? Anaongea kama yupo kwenye kitchen partSamia mwoga sana kwa kukosa akili anaamua kutumia fujo ili kuipiga pini mikutano ya Chadema.
Hiyo imepangwaKuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.
Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.
Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.
Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
Hiyo imepangwa
Kuwa vijana wa CCM waaandaliwe ili wakafanye fujo na Chadema wata react kuwa siyo chama cha demokrasia kwa sababu haisikilizi wanachama wake wanaosema "Oktoba tuna tick" ambao kimsingi ni wa CCM.
Kitendo cha Chadema ku react negative kitafanya msajili asitishe kwa muda shughuli za chama kwa kigezo cha kulinda amani na polisi watawanyima vibali kwa kigezo cha itelejensia ya polisi kuhusu ukosefu wa usalama.
Heche inabidi awe makini sana
Hii yote ni kuibembeleza chadema ishiriki uchaguzi au kuikomoa ,maana wanajua kuwa pasipo chadema uchaguzi utakua bored na unattractive.Wametimiza kupitia mahakama.
NRNEKuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.
Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.
Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.
Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
Dawa mpaka iwaingie......kwa sasa upinzani wa kweli uko sokoniNa wametekeleza hii dawa ya NO REFORMS NO ELECTION kwakweli inahitajimgonjwa awe na kilo nyingi CCM wamena wabadili dawa kuipromote CHAUMMA iiliyopuuzwa .
Wala haitowasaidia mashambulizi ya kimtandao ndio yatazidi na kule ndio hawapawezi kabisa.
Tusiwape air time....sisi tuendelee na kampeni yetu hadi ipenye mifupaWametimiza kupitia mahakama.
We takataka usitafute kiki za kipumbavu. Umekaa kijiweni hapo umebugia kisungura chako eti za ndani. We ni km msukule tu. Ni taahira tu anaweza kujiwekea kamba shingoni? Danganya wehu wenzioKuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.
Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya washauri wakubwa.
Kama ambavyo nliwadokeza kuwa Gwajima atafungiwa Kanisa lake. Na baada ya siku moja likafungwa. Sasa nawapa hii tahadhari. Mtaanza kunyimwa vibali.
Mikutano ya NORNOE IMEKUWA GUMZO SANA KWENYE MEETINGS ZETU za ndani na kupeana taarifa. Anaoneshwa mahudhurio ambayo yana mkwaza kuwa inakuaje hata Heche anapata watu wengi hivyo?
Lione hili zombie, halafu we ndio huyo mleta mada. Umejitekenya na kucheka mwenyewe, zuzu kweliSamia mwoga sana kwa kukosa akili anaamua kutumia fujo ili kuipiga pini mikutano ya Chadema.
Masters amesomea Manchester University, mojawapo ya vyuo vikuu bora Uingereza, una swali lingine.Hata elimu yake tu ni ya mashaka mashaka. Haijulikani alisoma wapi? Wengine wanamuita dr. Alipata wapi PhD yule? Anaongea kama yupo kwenye kitchen part
Haya nenda sasa kaharisheHiyo imepangwa
Kuwa vijana wa CCM waaandaliwe ili wakafanye fujo na Chadema wata react kuwa siyo chama cha demokrasia kwa sababu haisikilizi wanachama wake wanaosema "Oktoba tuna tick" ambao kimsingi ni wa CCM.
Kitendo cha Chadema ku react negative kitafanya msajili asitishe kwa muda shughuli za chama kwa kigezo cha kulinda amani na polisi watawanyima vibali kwa kigezo cha itelejensia ya polisi kuhusu ukosefu wa usalama.
Heche inabidi awe makini sana
Kilaza hakuna aliposoma master wenzako tunafaidika na ccm wewe unaishia kupakatwa tu na kutumika.Masters amesomea Manchester University, mojawapo ya vyuo vikuu bora Uingereza, una swali lingine.