Lakini wadhulumaji wanapinga kuwa hayo matukio hayakufanyika na mengine ya utekaji wanadai hawahusiki shida ndio iko hapo na ndicho alichomaanisha mtoa mada yaani ili maridhiano yatokee lazima wakiri kuwa walifanya na wawape wananchi uhakika kwamba hayatajirudia tenaWaliodhulumiwa haki zao ni:-
1. Wanachadema.
2. Wafiwa na majeruhi wote wa MO29.
3. Wote walioko magerezani kwa kesi za kubumba.
4. Waliotekwa, waliopotezwa na kuteswa kwa kusema ukweli.
5. Waliouliwa kwa sababu za kisiasa mfano mzee Kibao, Alphonce Mawazo, n.k
Maridhiano siyo kwa ajili ya aliyedhulumiwa, maridhiano hufanyika baada ya kukosa kuridhiana,baada ya kutofautiana na kupelekea chuki kubwa ya kudhuriana kiasi cha kuchomeana majumba,kuumizana,kutukananaHili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa.
Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe?
Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
Yule bibi wa Magomeni mlietaka azikwe akiwa hai ni mwizi?Waliokosea ni wale vibaka wezi walioiba mali za watu na kuchoma nchi, hao ndo nyumbu wahalifu waliokosea.
Na hakuna haja ya kutafuta maridhiano na nyumbu kama hao, hakuna kuridhiana na wahalifu dawa ni kuwachakaza kwelikweli.
Ongezea na wananchi wote kwa kunyimwa haki ya uhuru wa kunieleza pale wanapoona haki haitendeki ktk taifa lao.Waliodhulumiwa haki zao ni:-
1. Wanachadema.
2. Wafiwa na majeruhi wote wa MO29.
3. Wote walioko magerezani kwa kesi za kubumba.
4. Waliotekwa, waliopotezwa na kuteswa kwa kusema ukweli.
5. Waliouliwa kwa sababu za kisiasa mfano mzee Kibao, Alphonce Mawazo, n.k
Umeuliza swali umejibiwa , kama ulikua na majibu yako usingekuja kuuliza swali.Yule bibi wa Magomeni mlietaka azikwe akiwa hai ni mwizi?