Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Chadomo ndio mtapata tabu sidhani kama ni CCM.Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.
Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.
Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.
Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee.
Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.
Maswali ninayojiuliza wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Mambo si mambo huko. Inaelekea maombi yetu Meno na JW wapate akili Mungu anayajibu.
Kwa moto balaaaaaaWakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.
Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.
Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.
Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.
Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.
Maswali ninayojiuliza wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?
No Reforms No Election ✊️ ✌️
nkajua yanakukumbusha kuchangia tone toneWakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.
Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.
Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.
Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.
Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.
Maswali ninayojiuliza wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?
No Reforms No Election ✊️ ✌️
HakukalikiKwa moto balaaaaaa
Utaelewa tu.nkajua yanakukumbusha kuchangia tone tone
Wanajadili mustakbali wa nchi,wewe upo na vyama tu.Chadomo ndio mtapata tabu sidhani kama ni CCM.
Hahahaa unamlaumu bure Makala, ingekua wewe ungefanyeje? Hahaaha akiwaza zile nyumba zake ambazo hazijaisha pale Bunju Magengeni kuelekea mbweni, anazidi kuwa kichaa. Muache tu usimlaumu.Hawa CCM KAMWE hawajawahi kuwa straight na wakweli ktk mambo yao...
Amos Makalla kwa mdomo anasema kikao? Vikao? vimesukumwa hadi tarehe 28/7/2025..
Lakini barua yao inasema "hadi itakapotolewa taarifa nyingine.."
CCM hii ya sasa ni Majanga matupu, mparanganyiko mtupu na kwa kutokuwa smart ktk maamuzi yao, nchi na taifa liko kwe auto pilot, hakuna uongozi, hakuna Rais...!!
You mean hatarudi tena?Nipo paleeeeee!
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.
Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.
Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.
Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.
Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.
Maswali ninayojiuliza wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Mbona keshazimaliza? Au anajenga nyingine?Hahahaa unamlaumu bure Makala, ingekua wewe ungefanyeje? Hahaaha akiwaza zile nyumba zake ambazo hazijaisha pale Bunju Magengeni kuelekea mbweni, anazidi kuwa kichaa. Muache tu usimlaumu.
Ila moja bado finishing, moja ndio kamaliza, natamani nikachukue hata cementMbona keshazimaliza? Au anajenga nyingine?
Za Morogoro najua alishazimaliza tena alijenga lile ghorofa ndani ya mwezi mmoja tu.
Kweli CCM wanaliibia hili Taifa.