Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

Watz weng
Hawa CCM KAMWE hawajawahi kuwa straight na wakweli ktk mambo yao...

Amos Makalla kwa mdomo anasema kikao? Vikao? vimesukumwa hadi tarehe 28/7/2025..

Lakini barua yao inasema "hadi itakapotolewa taarifa nyingine"...

Isije hiyo "taarifa nyingine" ikawa, tunasikitika kuwataarifu kuwa tayari ana pamba puani na masikioni🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️.!!

CCM hii ya sasa ni Majanga matupu, mparanganyiko mtupu na kwa kutokuwa smart ktk maamuzi yao, nchi na taifa liko kwe auto pilot mode, hakuna uongozi, hakuna Rais...!!

Majanga..
I wangefanya sherehe
 
Hahahaa unamlaumu bure Makala, ingekua wewe ungefanyeje? Hahaaha akiwaza zile nyumba zake ambazo hazijaisha pale Bunju Magengeni kuelekea mbweni, anazidi kuwa kichaa. Muache tu usimlaumu.
Haa🤔
Una maana kuwa ameshaona kibarua chake Kiko hatarini kutoweka , au siyo
 
Hawa CCM KAMWE hawajawahi kuwa straight na wakweli ktk mambo yao...

Amos Makalla kwa mdomo anasema kikao? Vikao? vimesukumwa hadi tarehe 28/7/2025..

Lakini barua yao inasema "hadi itakapotolewa taarifa nyingine"...

Isije hiyo "taarifa nyingine" ikawa, tunasikitika kuwataarifu kuwa tayari ana pamba puani na masikioni🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️.!!

CCM hii ya sasa ni Majanga matupu, mparanganyiko mtupu na kwa kutokuwa smart ktk maamuzi yao, nchi na taifa liko kwe auto pilot mode, hakuna uongozi, hakuna Rais...!!

Majanga..
Kwani barua si ya Jana 18/7 Tamko limetolewa Leo! NRNE.
 
TUTAKUWEPO 😎✌️
 

Attachments

  • sativa255_-20250719-0001.jpg
    sativa255_-20250719-0001.jpg
    238.8 KB · Views: 27
Dawa gani? Chadomo mtakuja hapa kusaga meno na kumlilia SSH nitakuwa nawakejeli Mwanzo mwisho 😁😁
Baada ya haya yote, hoja yetu Chadema ni Nchi ipate Katiba Mpya inayoipa nguvu mifumo dhidi ya Wanasiasa/Mwanasiasa

Hili likifanikiwa hata Rais akiwa Bambo nchi itaenda. Ndo mana unaona Marekani hadi wehu wanakuwa Marais na nchi inaenda.
 
Back
Top Bottom