Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

Baada ya haya yote, hoja yetu Chadema ni Nchi ipate Katiba Mpya inayoipa nguvu mifumo dhidi ya Wanasiasa/Mwanasiasa

Hili likifanikiwa hata Rais akiwa Bambo nchi itaenda. Ndo mana unaona Marekani hadi wehu wanakuwa Marais na nchi inaenda.
Katiba inaletwa na moderate na sio wahafidhina.

Matusi Canada sio mda 😂😂
 
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.

Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.

Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.

Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.

Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.

Maswali ninayojiuliza ni Je wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa wezi/ wahuni na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Zine El Abidine Ben Ali alikimbia nchi baada ya waandamanaji kuzidi nguvu vyombo na ulinzi na usalama. Walikuwa wanaua waandamanaji kila siku na bado wanaendelea kuongezeka zaidi ya jana.
Na kadri siku zinavyoenda wanakuwa na fujo, wanavamia ofisi za serikali, ikawa ni vita baina ya waandamanaji na vyombo vya ulinzi.

Maafisa wakaanza kujiuliza sasa cha kufia nini maana kama wameua na kujeruhi ila hali hairudi nyuma sasa wataishia wapi. Ndipo jeshi likazingira makazi yake ila Ben Ali na familia yake wakaenda Airport na jeshi likawaruhusu waondoke kisha likafunga anga.
Alivyokuwa kwenye ndege ndivyo aliongea na huyo mkuu wake wa majeshi ambaye kwa lugha ya mazungumzo inaonekana alikuwa anamheshimu sana, hakusema asirudi ila alisema hawezi kumuhakikishia usalama endapo atarudi.

Hiyo situation ni kubwa sana, hii ya kwetu hamna kitu. Sisi hatuna politics ngumu hata, cheo cha Naibu Rais wa Kenya kina changamoto kuliko cheo cha Rais wa Tanzania.
 
Dawa gani? Chadomo mtakuja hapa kusaga meno na kumlilia SSH nitakuwa nawakejeli Mwanzo mwisho 😁😁
Kama wewe ni Tomaso huamini, basi subiri kuona...

For now: Endelea kuifariji nafsi yako na utoto unaoufanya badala ya kutumia vyema akili ndani ya kichwa chako kufikiri na kuamua vizuri before it's too late....

Learn to be flexible so that you can be able to see the big picture ahead of you Mr/Miss ChoiceVariable...

Don't allow yourself to stay in a stupid stagnant mode..

Tahadhari: Usije ukafa kwa pressure kwa utakayoona very soon...

Mashuhuda wa uzoefu: Waulize wazoefu wa kuona na kujuta kina Ole Lengai Sabaya...

View: https://youtu.be/Pe4Gl9xsio0?si=YM2gRXd8ulZf_w-H
Ushauri: Bora ujifunze kuamini kabla ya kuona kujiepusha na majanga yanayoweza kukupata...
 
Zine El Abidine Ben Ali alikimbia nchi baada ya waandamanaji kuzidi nguvu vyombo na ulinzi na usalama. Walikuwa wanaua waandamanaji kila siku na bado wanaendelea kuongezeka zaidi ya jana.
Na kadri siku zinavyoenda wanakuwa na fujo, wanavamia ofisi za serikali, ikawa ni vita baina ya waandamanaji na vyombo vya ulinzi.

Maafisa wakaanza kujiuliza sasa cha kufia nini maana kama wameua na kujeruhi ila hali hairudi nyuma sasa wataishia wapi. Ndipo jeshi likazingira makazi yake ila Ben Ali na familia yake wakaenda Airport na jeshi likawaruhusu waondoke kisha likafunga anga.
Alivyokuwa kwenye ndege ndivyo aliongea na huyo mkuu wake wa majeshi ambaye kwa lugha ya mazungumzo inaonekana alikuwa anamheshimu sana, hakusema asirudi ila alisema hawezi kumuhakikishia usalama endapo atarudi.

Hiyo situation ni kubwa sana, hii ya kwetu hamna kitu. Sisi hatuna politics ngumu hata, cheo cha Naibu Rais wa Kenya kina changamoto kuliko cheo cha Rais wa Tanzania.
Kuna mnafanano kwenye sehemu ndogo sana ila hapa ndo hoja ilipo. Kakimbia ikulu kaenda nyumbani.

Ni suala la wajuba tu kumaliza kazi na kuliponya Taifa kama kule Tunisia walivyofanya.
 
Kama wewe ni Tomaso huamini, basi subiri kuona...

For now: Endelea kuifariji nafsi yako na utoto unaoufanya badala ya kutumia vyema akili ndani ya kichwa chako kufikiri na kuamua vizuri before it's too late....

Learn to be flexible so that you can be able to see the big picture ahead of you Mr/Miss ChoiceVariable...

Don't allow yourself to stay in a stupid stagnant mode..

Tahadhari: Usije ukafa kwa pressure kwa utakayoona very soon...

Mashuhuda wa uzoefu: Waulize wazoefu wa kuona na kujuta kina Ole Lengai Sabaya...

Ushauri: Bora ujifunze kuamini kabla ya kuona kujiepusha na majanga yanayoweza kukupata...
Mimi sibababishwi Wala siishi Kwa kutegemea Wanasiasa wewe mbumbumbu wa Chadomo.

Harafu msipende sana uzushi mtawachanisha wenzenu mikeka Yao.

Pili mbona unalazimisha mambo shida ni nini?
 
Mimi sibababishwi Wala siishi Kwa kutegemea Wanasiasa
Unamdanganya nani wakati maandishi yako yanathibitisha wewe ni mtu unayeishi kutegemea nini..?

Kama Kuna binadamu anaitetea CCM hii na serikali yao halafu aseme "haishi kwa kutegemea wanasiasa", then that person is absolutely a pathetic big liar just like you...!!

Mtu anayeweza kusema haishi kwa kutegemea kuhongwa na wanasiasa ni wachache sana bongo hii, wa kwanza asiye na shaka 100% ni Tundu Lissu, basi...
 
Tatizo la watanzania wanaelekea kuchanganyikiwa...ukisoma mitandaoni halafu upo nje ya nchi unaweza kudhani kuwa ndege vita na risasi zinapishana..
Kiongozi ana ratiba zake za kawaida kabisa, LAKINI WATU WANAANDAMANA VICHWANI, WANAJIPIGA MABOMU YA MACHOZI VICHWANI, YAANI WATU WAMECHANGANYIKIWA MNO..

hakuna kiongozi yeyote duniani na hajatokea kuwa anasumbuliwa na KEYBOARD WARRIORS, maandamano yapo vichwani..mtachanganyikiwa mapema!
 
Unamdanganya nani wakati maandishi yako yanathibitisha wewe ni mtu unayeishi kutegemea nini..?

Kama Kuna binadamu anaitetea CCM hii na serikali yao halafu aseme "haishi kwa kutegemea wanasiasa", then that person is absolutely a pathetic big liar just like you...!!

Mtu anayeweza kusema haishi kwa kutegemea kuhongwa na wanasiasa ni wachache sana bongo hii, wa kwanza asiye na shaka 100% ni Tundu Lissu, basi...
Tonetone inamhona nani?

Mimi sio mwanasiasa Wala siishi Kwa kutegemea Sasa ,Mimi ni shabiki wa SSH .

ID yangu sio ya Jana Wala juzi jf utaniona sana
 
Kama wewe ni Tomaso huamini, basi subiri kuona...

For now: Endelea kuifariji nafsi yako na utoto unaoufanya badala ya kutumia vyema akili ndani ya kichwa chako kufikiri na kuamua vizuri before it's too late....

Learn to be flexible so that you can be able to see the big picture ahead of you Mr/Miss ChoiceVariable...

Don't allow yourself to stay in a stupid stagnant mode..

Tahadhari: Usije ukafa kwa pressure kwa utakayoona very soon...

Mashuhuda wa uzoefu: Waulize wazoefu wa kuona na kujuta kina Ole Lengai Sabaya...

View: https://youtu.be/Pe4Gl9xsio0?si=YM2gRXd8ulZf_w-H
Ushauri: Bora ujifunze kuamini kabla ya kuona kujiepusha na majanga yanayoweza kukupata...

HUWEZI KUTIA WATU HOFU..HAKUNA CHA TOMASO WALA TOMASI..
NCHI IPO SHWARI KABISA..
EBU SIKU MOJA MTOKE HUMU JF MUANDAMANE TUONE
 
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.

Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.

Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.

Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.

Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.

Maswali ninayojiuliza ni Je wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa wezi/ wahuni na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?

No Reforms No Election ✊️ ✌️
NO REFOEMS NO ELECTION
✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Kuna mnafanano kwenye sehemu ndogo sana ila hapa ndo hoja ilipo. Kakimbia ikulu kaenda nyumbani.

Ni suala la wajuba tu kumaliza kazi na kuliponya Taifa kama kule Tunisia walivyofanya.
Sijaona situation iliyofikia kumfanya Rais akimbie ikulu.

Hizi speculations ni zetu, hata chama kikae kiseme hagombei sasa yeye anakimbia ikulu ili iweje?
 
Tonetone inamhona nani?
Hapa una maana gani? Fafanua nikujibu...
Mimi sio mwanasiasa Wala siishi Kwa kutegemea Sasa ,Mimi ni shabiki wa SSH .
Basi wewe ni mjinga maana pengine hujui hata maana ya "siasa"

Muda wote uko kujadili issues za kijamii lakini unasema si mwanasiasa na hutegemei siasa...

Likely, wewe una maana na tafsiri yako nyingine ya neno "siasa"
ID yangu sio ya Jana Wala juzi jf utaniona sana
Kwa hiyo hii, inafuta ukweli kuwa maisha yako hayategemei siasa na wanasiasa, au siyo...?

Mbona unakuwa mwongo wa mchana kabisa wewe..??
 
Sijaona situation iliyofikia kumfanya Rais akimbie ikulu.

Hizi speculations ni zetu, hata chama kikae kiseme hagombei sasa yeye anakimbia ikulu ili iweje?
Ikulu ya Dodoma mtego ule.

Kila kitu kiko wazi. Ni dakika tu watu wanarudisha mpira kati.
 
Back
Top Bottom