Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

Mimi sibababishwi Wala siishi Kwa kutegemea Wanasiasa wewe mbumbumbu wa Chadomo.

Harafu msipende sana uzushi mtawachanisha wenzenu mikeka Yao.

Pili mbona unalazimisha mambo shida ni nini?
Sasa mbona unashoboka nao nilijua upo payroll ya buku 7 Lumumba
 
Rais Samia amefanya kadiri alivyoweza kuifikisha nchi Toka mwaka 2021 alipotuacha rais JPM mpaka sasa.Kwa Hali ilivyo Bora angewaachia wanaccm wengine kusonga mbele kwenye nafasi hiyo
Hata akishinda haitawezekana tena. Unawatawalaje watu wasiokuwa wamoja?
 
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.

Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.

Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.

Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.

Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.

Maswali ninayojiuliza ni Je wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa wezi/ wahuni na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Oktoba tunatiki, we nyumbu acha kuokoteza takataka, we pambana na nyumbu wenzio mambo ya CCM siyo level yako. Umejaa pumba tupu kichwani.
 
Mara ya mwisho uliona tukio hilo la kuqhirishwa kwa vikao linatokea lini ili hii iwe ni jambo la kawaida tu.
Jibu kama mtu mwenye akili na SIYO CHAWA
Kati yako wewe unayeandamana kichwani na makala nani anajua ratiba za ccm na tumuamini nani?
 
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais.

Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi Arabia.

Mawasiliano ya mwisho yaliyonaswa na shirika la habari la Uingereza BBC yalionesha akiwa kwenye ndege Ben Ali alikuwa akiwasiliana na Mkuu wa Majeshi na kuuliza kama hali imetulia ili arejee.

Simu za mwisho za Ben Ali zilionesha how frustrated He was. Alikuwa anauliza kama mtoto mdogo vipi huko hali ikoje Mkuu wangu wa Majeshi nirudi? Mkuu wa Majeshi mwisho akampasukia Ni ushauri wangu usirejee, siwezi kukuhakishia usalama wako endapo utarejea.

Tukio hili lililotokea mwaka 2011 limenikumbusha kisa kilichotokea hapa Dodoma baada ya mtu kupanda ndege kwenda Kizimkazi hadi kufanya Vikao vya Kamati Kuu kuahirishwa.

Maswali ninayojiuliza ni Je wajuba wamepata akili? Wataweza kumwambia baki huko huko kwanza ili waiponye nchi na kuipatia Reforms ili itoke mikononi mwa Wanasiasa wezi/ wahuni na iendeshwe na mifumo chini ya Katiba Bora?

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Huyu ni km mwehu hajawahi kuandika kt cha maana. Umeandika upuuzi ambao hauna uhusiano wowote. Ur zero brain
 
Muda unakwenda Kasi sana


Kutoka kuparuana makucha na chadema mpaka kuanza kutoana roho wao Kwa wao , 🤣🤣🤣🤣

Kweli karma ni mwanamke Malaya
 
Tulia watu wako kazini. Hizo hela zenu mnazoiba za tenda mbalimbali jiandaeni tu mtazitapika
Kazi gani hzo? Kwa jinsi ninavyoifahamu chadomo haina hata uwezo wa kujiongoza yenyewe ndo maana imeongozwa kama mbwa miaka 20 bila kujua chochote, sasa hyo ni chama au kikundi cha vichaa na waropokaji?
 
Kati yako wewe unayeandamana kichwani na makala nani anajua ratiba za ccm na tumuamini nani?
Kuandamana ni haki, ukiona taifa watu hawaandamani siyo kwamba kila kitu kipo sawa! Hawajui maana ya maandamano achilia mbali haki zao. Wewe ni wasiojua haki zako kwakuwa umejingishwa ukajingika
Katika ile press ulimsikia Mr. Mpox na ebola akitaja sababu?
Ilishawahi kutokea mara ngapi hii iwe ya kawaida ?
 
Muda unakwenda Kasi sana


Kutoka kuparuana makucha na chadema mpaka kuanza kutoana roho wao Kwa wao , 🤣🤣🤣🤣

Kweli karma ni mwanamke Malaya
Karma ni mtu hatari sana

Wametoa mabilioni ya fedha kutaka kuiua Chadema. Mabilioni yameliwa na kina Mbowe na Chauma na Chadema haijafa.

Wamekifungia kufanya siasa.

Wamemkamata Mwenyekiti wake na kumuweka Gerezani.

Wamewaua kina Mdude, Soka na Wengineo.

Kumbe Wapinzani wao wanaowawazia mabaya kweli wapo ndani humo humo CCM.

Karma is a bitch.
 
Back
Top Bottom