KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kwani hujasikia kuwa hadi tarehe 28 july na hujasikia sababu?Kuandamana ni haki, ukiona taifa watu hawaandamani siyo kwamba kila kitu kipo sawa! Hawajui maana ya maandamano achilia mbali haki zao. Wewe ni wasiojua haki zako kwakuwa umejingishwa ukajingika
Katika ile press ulimsikia Mr. Mpox na ebola akitaja sababu?
Ilishawahi kutokea mara ngapi hii iwe ya kawaida ?
Au mnataka kujifungamanisha na ratiba za vyama vingne?
Mara ooh kakimbia, mara oo..
We hi nchi si kamati kuu ya chadomo na maudenda yake.
Ni ukweli mna haki ya kuandamana vichwani mwenu..
ETI HAKI YA KUANDAMANA, mbona hukuwahi kuandamana maudenda atoke gerezani?