Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 147
Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana.
Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani:
Nchi ni Rais. Rais ni nchi.
Nchi ni wananchi. Wananchi ni nchi.
Hatuamini chochote kwenye itikadi za vyama vya kisiasa. Hatuamini katika chama. Tunaamini katika kiongozi mkuu wa nchi. Yaani Rais bila kujali chama chake cha siasa.
Rais ni lango la nchi. Rais ni baraka za nchi.
Hatuamini katika itikadi ya vyama vya kisiasa popote Duniani.
Wafuasi wetu wanazidi kuongezeka siku hadi siku. Na mnyukano huu wa chama kikuu cha upinzani inatusaidia sana.