GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna mkopo kwa mchezaji usio na mkataba na kwenye mkataba kuna vipengere mnapoachana kabla ya mkataba kuisha vipengere mlivyowekeana ni lazima vitimizwe kwa mujibu wa mkataba..Huyu yupo Yanga kwa mkopo, na yeye mwenyewe ndiye aliyeanza kujitambulisha kabla ya Yanga kumtambilisha rasmi. Naona cha umbea, mfitini, mgombanishi, mzushi, na cha uongo kama jinsi ya kike umerudi jukwaani. Endelea kuwadanganya walio wageni na mambo.
Kwani ulikuwa uongo hawakumsajili kwa mkopo? Aliwasaidia Yanga kumtangaza shida niniHuyu yupo Yanga kwa mkopo, na yeye mwenyewe ndiye aliyeanza kujitambulisha kabla ya Yanga kumtambilisha rasmi.
Kwa mkopo hakucheza?Au alicheza bila mkataba?Kesi zipo tano sasa.Utapeli umekuwa sugu.Huyu yupo Yanga kwa mkopo, na yeye mwenyewe ndiye aliyeanza kujitambulisha kabla ya Yanga kumtambilisha rasmi. Naona cha umbea, mfitini, mgombanishi, mzushi, na cha uongo kama jinsi ya kike umerudi jukwaani. Endelea kuwadanganya walio wageni na mambo.
FIta ni fita muraaaa!Kudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia
Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na mkishindwa anaenda Kuuwasha Moto FIFA ili Deni lake na la Okra ambalo bado linawateseni kwa pamoja yafikie Bilioni 47 za Kitanzania.
Genta misifa umerudiKudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia
Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na mkishindwa anaenda Kuuwasha Moto FIFA ili Deni lake na la Okra ambalo bado linawateseni kwa pamoja yafikie Bilioni 47 za Kitanzania.
Unaelewa maana ya mkopo wewe kijana wa Rage?Hakuna mkopo kwa mchezaji usio na mkataba na kwenye mkataba kuna vipengere mnapoachana kabla ya mkataba kuisha vipengere mlivyowekeana ni lazima vitimizwe kwa mujibu wa mkataba..
Kuwai kujitambulisha hakumuondolei yeye kupata/kupewa stahiki zake
Uto matapeliKudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia
Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na mkishindwa anaenda Kuuwasha Moto FIFA ili Deni lake na la Okra ambalo bado linawateseni kwa pamoja yafikie Bilioni 47 za Kitanzania.
Hakuna mkopo usio na mkataba wewe utuponywoUnaelewa maana ya mkopo wewe kijana wa Rage?
Mkataba wa mkopo ana sign mchezaji au timu na timu Mr mbumbumbu?Hakuna mkopo usio na mkataba wewe utuponywo
Ila nyie ndio maana Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye uchaguzi nioneshe sehemu yoyote duniani mchezaji aliwahi ku sign loan deal ?Kwa mkopo hakucheza?Au alicheza bila mkataba?Kesi zipo tano sasa.Utapeli umekuwa sugu.
Wewe ndio zuzu haswa.Wachezaji ni lazima wa sign loan deal wanapokwenda kwenye timu zingine kwa mkopo.Ndio maana kwenye baadhi ya mikataba ya wachezaji hao kuna vipengele vya kutocheza dhidi ya timu aliyotoka,mishahara kama italipwa na timu yake au timu aliyotoka.Ila nyie ndio maana Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye uchaguzi nioneshe sehemu yoyote duniani mchezaji aliwahi ku sign loan deal ?