Yanayoendelea kati yenu na Baleke mnayaficha Kwanza mpaka Hesabu zenu za Vikokotoo (Calculators) zitimie Kesho au?

Ila nyie ndio maana Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye uchaguzi nioneshe sehemu yoyote duniani mchezaji aliwahi ku sign loan deal ?
Sikia wewe Mrugaruga tukueleweshe

Kwenye mauziano ya mchezaji uwa kuna mkataba wa Timu na timu kuonyesha kwamba mmeuziana au mmekopeshana na Kuna mkataba baina ya timu iliyokopa na mchezaji

Mchezaji hatolewi kama vile mnaazimana majogoo yakapande mitetea, jielimishe usikae kimbumbumbu mrugaruga wewe
 
Maneno mengi ya nini mchezaji aki sign mkataba wa mkopo anakua na mikataba mingapi? anyway weka hapa mkataba wa mkopo tuone
 
Wewe ndio zuzu haswa.Wachezaji ni lazima wa sign loan deal wanapokwenda kwenye timu zingine kwa mkopo.Ndio maana kwenye baadhi ya mikataba ya wachezaji hao kuna vipengele vya kutocheza dhidi ya timu aliyotoka,mishahara kama italipwa na timu yake au timu aliyotoka.
Unafikiri wanacheza kama deiwaka bila mkataba?Hakuna mchezaji anayecheza bila mkataba uwe wa mkopo au wa kawaida.
Wewe unadhani akiwa wa mkopo anachukuliwa tu na kucheza?Wacha uzwazwa na ubishi wa kitoto.Na mkopo huwa una muda .Huo muda wanakubaliana kwa mdomo?
Ona hili zwazwa kwa hio kwenye chama cha soka mchezaji anakua na mikataba mingapi? kama kitu haujui si useme ueleweshwe? NB maandishi mengi uharo mtupu
 
Sikia wewe Mrugaruga tukueleweshe

Kwenye mauziano ya mchezaji uwa kuna mkataba wa Timu na timu kuonyesha kwamba mmeuziana au mmekopeshana na Kuna mkataba baina ya timu iliyokopa na mchezaji

Mchezaji hatolewi kama vile mnaazimana majogoo yakapande mitetea, jielimishe usikae kimbumbumbu mrugaruga wewe
Acha nikufundishe japo kua haufundishiki kwenye loan deal mchezaji ana sign agreement sio mkataba sitakufundisha tena
 
Hizo agreement atakazo sign kama watakubaliana kwa maneno matupu ni sawa hakuna mkataba lakini kama wataandikiana ktk makaratasi, tayari mkataba safi.....

Ki ukweli hapa nyote mnaonekana kupigia upande mmoja mbona......??
 
Huyu mvimba macho hawezi kuficha ujinga.Mwanzoni alikataa mwishoni anakuja na hoja ya agreement. Hajui kwamba hajui.
 
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Huyu mvimba macho hawezi kuficha ujinga.Mwanzoni alikataa mwishoni anakuja na hoja ya agreement. Hajui kwamba hajui.
Baki na ujinga wako kama huwezi kutofautisha makubaliano na mkataba sina kitu naweza kukusaidia
 
Hizo agreement atakazo sign kama watakubaliana kwa maneno matupu ni sawa hakuna mkataba lakini kama wataandikiana ktk makaratasi, tayari mkataba safi.....

Ki ukweli hapa nyote mnaonekana kupigia upande mmoja mbona......??
Soma kwa makini hapa chini 👇
The main difference between an agreement and a contract lies in their legal enforceability. Here's a breakdown:
* Agreement:
* A broader term encompassing any mutual understanding or arrangement between two or more parties.
* Can be formal or informal, written or oral.
* May or may not be legally binding.
* Contract:
* A specific type of agreement that is legally binding and enforceable in court.
* Typically requires specific elements to be valid, such as:
* Offer and acceptance
* Consideration (exchange of value)
* Capacity of the parties to contract
* Legal purpose
* Often more formal and detailed than a general agreement.
In essence: All contracts are agreements, but not all agreements a
re contracts.
 
Yanga imesitisha zoezi la usajili mpaka itakapojua hatma yake kwenye CAFCL hasa mechi ya leo dhidi ya Al Hilal. Dirisha dogo la usajili linafungwa 15/01 kwa maana hiyo maamuzi ya kama kuna mtu anasajiliwa inabidi yafanyike kabla ya Jumatano.

Mechi ya leo ndiyo itaamua kama madeni ya kina Okrah yanalipwa ili kina Israel Mwenda wasajiliwe ama la.
 
Semaji la Yanga kutoka vijiwe vya kahawa
 
🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈
 
Back
Top Bottom