Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
We jamaa ni Mjinga kweli yani, hakuna unachojua kuhusu mikataba ya wachezajiMkataba wa mkopo ana sign mchezaji au timu na timu Mr mbumbumbu?
Sikia wewe Mrugaruga tukuelewesheIla nyie ndio maana Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye uchaguzi nioneshe sehemu yoyote duniani mchezaji aliwahi ku sign loan deal ?
Maneno mengi ya nini mchezaji aki sign mkataba wa mkopo anakua na mikataba mingapi? anyway weka hapa mkataba wa mkopo tuoneSikia wewe Mrugaruga tukueleweshe
Kwenye mauziano ya mchezaji uwa kuna mkataba wa Timu na timu kuonyesha kwamba mmeuziana au mmekopeshana na Kuna mkataba baina ya timu iliyokopa na mchezaji
Mchezaji hatolewi kama vile mnaazimana majogoo yakapande mitetea, jielimishe usikae kimbumbumbu mrugaruga wewe
Inahitajika watu wawili tu wenye akili kuyabuluza ma mbumbumbuWe jamaa ni Mjinga kweli yani, hakuna unachojua kuhusu mikataba ya wachezaji
Huko wenye akili ni wawili tu, wengine ni wala mihogo
Ona hili zwazwa kwa hio kwenye chama cha soka mchezaji anakua na mikataba mingapi? kama kitu haujui si useme ueleweshwe? NB maandishi mengi uharo mtupuWewe ndio zuzu haswa.Wachezaji ni lazima wa sign loan deal wanapokwenda kwenye timu zingine kwa mkopo.Ndio maana kwenye baadhi ya mikataba ya wachezaji hao kuna vipengele vya kutocheza dhidi ya timu aliyotoka,mishahara kama italipwa na timu yake au timu aliyotoka.
Unafikiri wanacheza kama deiwaka bila mkataba?Hakuna mchezaji anayecheza bila mkataba uwe wa mkopo au wa kawaida.
Wewe unadhani akiwa wa mkopo anachukuliwa tu na kucheza?Wacha uzwazwa na ubishi wa kitoto.Na mkopo huwa una muda .Huo muda wanakubaliana kwa mdomo?
Acha nikufundishe japo kua haufundishiki kwenye loan deal mchezaji ana sign agreement sio mkataba sitakufundisha tenaSikia wewe Mrugaruga tukueleweshe
Kwenye mauziano ya mchezaji uwa kuna mkataba wa Timu na timu kuonyesha kwamba mmeuziana au mmekopeshana na Kuna mkataba baina ya timu iliyokopa na mchezaji
Mchezaji hatolewi kama vile mnaazimana majogoo yakapande mitetea, jielimishe usikae kimbumbumbu mrugaruga wewe
Acha nikufundishe japo kua haufundishiki kwenye loan deal mchezaji ana sign agreement sio mkataba sitakufundisha tena
Huyu mvimba macho hawezi kuficha ujinga.Mwanzoni alikataa mwishoni anakuja na hoja ya agreement. Hajui kwamba hajui.Hizo agreement atakazo sign kama watakubaliana kwa maneno matupu ni sawa hakuna mkataba lakini kama wataandikiana ktk makaratasi, tayari mkataba safi.....
Ki ukweli hapa nyote mnaonekana kupigia upande mmoja mbona......??
Baki na ujinga wako kama huwezi kutofautisha makubaliano na mkataba sina kitu naweza kukusaidiaHuyu mvimba macho hawezi kuficha ujinga.Mwanzoni alikataa mwishoni anakuja na hoja ya agreement. Hajui kwamba hajui.
Soma kwa makini hapa chini πHizo agreement atakazo sign kama watakubaliana kwa maneno matupu ni sawa hakuna mkataba lakini kama wataandikiana ktk makaratasi, tayari mkataba safi.....
Ki ukweli hapa nyote mnaonekana kupigia upande mmoja mbona......??
Semaji la Yanga kutoka vijiwe vya kahawaYanga imesitisha zoezi la usajili mpaka itakapojua hatma yake kwenye CAFCL hasa mechi ya leo dhidi ya Al Hilal. Dirisha dogo la usajili linafungwa 15/01 kwa maana hiyo maamuzi ya kama kuna mtu anasajiliwa inabidi yafanyike kabla ya Jumatano.
Mechi ya leo ndiyo itaamua kama madeni ya kina Okrah yanalipwa ili kina Israel Mwenda wasajiliwe ama la.