Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Mungu akutangulie mzalendo 😭! Ni wazi wazazi wako hasa mama yako hakuonja kileo ulipokuwa tumboni na wala mzee wako hakumpumulia moshi wa sigara mama yako ndio maana akili zimo mkichwa!
 
FAnya kuporomosha matusi kama afande sele
 
Hivi pale Uhuru leo watu hawajaiba simu na pesa za wale waliokuwa wanazimia?
 
Yani hapo Dodoma pia unajisumbua bure lbd uzunguke na mwili kesho nenda Zanzibar ubahatishe ,ukishindwa nenda Mwanza Kisha malizia Chato. Kama ulitaka kuaga kweli kwanini hukuwahi asb mapema Uwanja wa Uhuru? Umechemka .

Sent from my Pace 2 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kaza roho kijana.Maana usije ukakumbuka na misiba ya zamani ukaanza kulia hadi uso ukajaa machozi ukashindwa kuona mbele ajali ikatokea wakasema wakinzani walilegeza nati za tairi la gari "ulilokwea"!🤣🤣🤣🤣
 
Una lako jambo sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…