Dah, binafsi nitamkumbuka sana huyu mwamba, anamazuri mengi kulko mabaya yake, R.I.p magufuli.Hapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa na sikuridhika ile tunazungushiwa mwili kama marathon na nilikuwa far. Hapa nakanyaga mpk Dodoma. Lazima nimuone huyu mzee as last time nilimuona pale TMA. He was my hero as individual man no matter how tulitofautiana in few matters.
Chatoooo....rest easy Mzalendo halisi.
Mwendo AmeumalizaHv mbona mitandaon hakuna hata picha ya uso wake jamani?
Jana hakukuwa na watu wengi mkuu kwanini hukuenda?Hapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa na sikuridhika ile tunazungushiwa mwili kama marathon na nilikuwa far. Hapa nakanyaga mpk Dodoma. Lazima nimuone huyu mzee as last time nilimuona pale TMA. He was my hero as individual man no matter how tulitofautiana in few matters.
Chatoooo....rest easy Mzalendo halisi.
Yaani Jana AngewezaJ
Jana hakukuwa na watu wengi mkuu kwanini hukuenda?
KivyenuNenda Babaa tuko bega kwa bega
Inatuhusu niniAlafu mimi sijawahi kumuona LIVE magufuli
Hahahahaha we kichaa ujue🤣🤣Inatuhusu nini
Umeongea vizuri ukaja kuharibu kuwatusi wenzako mnaotofautiana mtazamoJamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...