Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Achana na huyo mamruki, huyo hawezi kuwa raisi wa nchi hiyo. Tayari huyo ashakuwa compromised, hata akiwa leader lazima ataendeshwa na matakwa ya bwana zake, beberuzi
Mkuu naweza fanya nini ili na mimi niwe beberu?
 
Achana na huyo mamruki, huyo hawezi kuwa raisi wa nchi hiyo. Tayari huyo ashakuwa compromised, hata akiwa leader lazima ataendeshwa na matakwa ya bwana zake, beberuzi
kuandika kwenyewe hujui!
 
Mapungufu ya Hayati Magufuli ni katika siasa za upinzani ambapo walitaka wanasiasa waendelee kupanda majukwaani kuhadaa wananchi badala ya kuchapa kazi.

Hivyo kauli ya Lissu, kwenye hiyo Twitter yake, inawakilisha hoja mfu za kudai demokrasia ya wao kuingia madarakani kwa gharama yoyote ile, au uhuru usio na mipaka, na haki bila wajibu.

Wananchi wanajitokeza, kwa wingi, kutoa heshima zao za mwisho, ukiwa ni ushahidi kuwa Hayati Magufuli alikuwa SAUTI ya WANYONGE.

ROHO YAKE ILAZWE PEMA PEPONI, APUMZIKE KWA AMANI. AMINA
Lisu bado anamachungu ya kupigwa risasi, hata ungekuwa wewe kupigwa risasi kwenye mazingira ya maeneo ya viongozi lazima ungehisi watu tu
 
Hapa nipo mitaa ya chako ni chako dodoma nasubiri muda si mrefu watampitisha.

Sio nilimpenda nataka japo nione akiondoka!

Nitakachomiss sana kwa mwendazake ni uongo wa waziwazi halafu mkavuu!

Eti sadam husen raisi wa kuwait!
Walmnafikun
 
Mapungufu ya Hayati Magufuli ni katika siasa za upinzani ambapo walitaka wanasiasa waendelee kupanda majukwaani kuhadaa wananchi badala ya kuchapa kazi.

Hivyo kauli ya Lissu, kwenye hiyo Twitter yake, inawakilisha hoja mfu za kudai demokrasia ya wao kuingia madarakani kwa gharama yoyote ile, au uhuru usio na mipaka, na haki bila wajibu.

Wananchi wanajitokeza, kwa wingi, kutoa heshima zao za mwisho, ukiwa ni ushahidi kuwa Hayati Magufuli alikuwa SAUTI ya WANYONGE.

ROHO YAKE ILAZWE PEMA PEPONI, APUMZIKE KWA AMANI. AMINA
Mkuu na wewe ni mnyonge? Hivi hao wanyonge alikuwa na plan gani nao au ilotaka kuongeza idadi yao yaani raia wote tuwe wanyonge?
 
Naandika tena JPM akiwa ndani ya jeneza halafu LISSU akiwa pembeni yake likawekwa sanduku la kupigia kura kuchagua nafasi yoyote ya kisiasa naamini hayati ataibuka kidedea kwenye uchaguzi huo.
Umeona mbali sana mkuu
 
Achana na huyo mamruki, huyo hawezi kuwa raisi wa nchi hiyo. Tayari huyo ashakuwa compromised, hata akiwa leader lazima ataendeshwa na matakwa ya bwana zake, beberuzi
Mabeberu ndiyo wanaowapa chanjo wanao na mkeo na dawa za kufubaza makali ya HIV kwa viongozi wako na ndiyo wanaipa misaada serikali yako tena isitoshe mabeberu ndiyo wanafanya biasaha na nchi yako.
 
Mapungufu ya Hayati Magufuli ni katika siasa za upinzani ambapo walitaka wanasiasa waendelee kupanda majukwaani kuhadaa wananchi badala ya kuchapa kazi.

Hivyo kauli ya Lissu, kwenye hiyo Twitter yake, inawakilisha hoja mfu za kudai demokrasia ya wao kuingia madarakani kwa gharama yoyote ile, au uhuru usio na mipaka, na haki bila wajibu.

Wananchi wanajitokeza, kwa wingi, kutoa heshima zao za mwisho, ukiwa ni ushahidi kuwa Hayati Magufuli alikuwa SAUTI ya WANYONGE.

ROHO YAKE ILAZWE PEMA PEPONI, APUMZIKE KWA AMANI. AMINA
Mwenyewe unaona sifa watu kuitwa wanyonge. Lini angekomesha unyonge wao?

WB report inaonesha JK alipunguza umasikini kwa 18%,. JPM kapunguza kwa 6.5% na infact kwenye utawala wa JPN masikini wameongezeka. ...au endgame yake ilikuwa kuongeza masikini ili wanyonge wazagae barabarani?
 
Achana na huyo mamruki, huyo hawezi kuwa raisi wa nchi hiyo. Tayari huyo ashakuwa compromised, hata akiwa leader lazima ataendeshwa na matakwa ya bwana zake, beberuzi
Kweli kabisa mkuu
 
Upo mjini lakin hata hela huna,bora hata mimi niliepo kijijin
Ukiwa huna hela haijalishi uko mjini au kijijini. Huko uliko hata Kama ni kijijini Kama huna hela HAKUNA uafadhali wowote. Tafuta hela bila kujali uko wapi.
 
habari alizipata wapi, hizo habari alizozipata alizipata kwa njia gani, kama ikulu hawatoi habari hovyo hovyo kwanini yeye baada ya kuzipata hakunyamaza na kuwasubiri ikulu watangaze wenyewe.
Kama kweli Lissu ni mtu mwema awaeleze watanzania mtu aliyempatia hizo taarifa za mzee kuumwa.
Alikuwa mgombea urais huyo, lazima awe na watu kwenye system.

Ndio maana hata kabla ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa yeye alishatimka kwenda nje ya nchi, anapata info zote za Tume ya uchaguzi. Sio level yako huyo.

Hata taarifa za Kifo cha Magufuli alishadokezwa, ndio maana Chadema walivyoitisha kikao na wana habari ili kutujuza umbea nyeti, Haraka sana Makamu wa Rais akatangaza taarifa za Msiba rasmi.
 
JPM kiboko Yao ,akukubali kuwapigia magoti wazungu weusi wala weupe
 
Back
Top Bottom