Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Mara paaaaap JPM kaibuka na anatuambia kuwa yote yalikuwa maigizo kjua nan? anapendwa kias gan? nahs watu watakufa

credit: comment ya mdau at facebook
Si mpaka iwe mara paap.
 
Jamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...
What a hype.

Radio zote, TV, magazeti, wasanii, nyimbo za bongo fleva. Nguvu ya dola.

Bado tu mliamini watu hawatakuja.

Why mnahangaika sana ku-prove wrong kwamba Magu alipendwa.

Jamani hakuna mtu anayechukiwa na dunia nzima. Hayupo.

Ila mnaforce hype utafikiri WCB au Clouds wanaingiza sokoni msanii mpya.

Relax.
 
Watanzania bana yaani hata kuagwa ukifa kuna mashindano ?, Anyway followers sio kipimo cha wema au ubaya huenda Hitler alikuwa na followers wengi kuliko Mother Theresa.., Its immaterial... Ila cha kushangaza ni wewe wenzako walienda kusikitika na kuomboleza wewe umekwenda kuhesabu wangapi walikuja...
 
Kuna jambazi aliuawa hapa Arusha kwa jina la "Majengo", huwezi amini watu walijaa hatari kushangaa hadi polisi wakauchukua mwili wake wakasepa nao.
 
Hapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa na sikuridhika ile tunazungushiwa mwili kama marathon na nilikuwa far. Hapa nakanyaga mpk Dodoma. Lazima nimuone huyu mzee as last time nilimuona pale TMA. He was my hero as individual man no matter how tulitofautiana in few matters.

Chatoooo....rest easy Mzalendo halisi.
Salute kwako natamani nikutumie ya mafuta kifo cha mzee Magu sikwenda kazini niliumia usiku had mchana ndio kiongozi nitakaye wasimulia wanangu wakikua.
 
Mapungufu ya Hayati Magufuli ni katika siasa za upinzani ambapo walitaka wanasiasa waendelee kupanda majukwaani kuhadaa wananchi badala ya kuchapa kazi.

Hivyo kauli ya Lissu, kwenye hiyo Twitter yake, inawakilisha hoja mfu za kudai demokrasia ya wao kuingia madarakani kwa gharama yoyote ile, au uhuru usio na mipaka, na haki bila wajibu.

Wananchi wanajitokeza, kwa wingi, kutoa heshima zao za mwisho, ukiwa ni ushahidi kuwa Hayati Magufuli alikuwa SAUTI ya WANYONGE.

ROHO YAKE ILAZWE PEMA PEPONI, APUMZIKE KWA AMANI. AMINA
 
Sasa fanya hivi..

Nenda Moja Kwa Moja maeneo ya uwanjani ambapo Mzee ataagwa halafu lala hata kwenye gari na asubuhi saa 12 ingia uwanjani tofauti na hivyo na Dodoma pia utakosa nafasi ya kumuaga Mzee..
 
Ila ujue chamwino wamezuia magari kuja dodoma mjini so nahisi utakutana na foleeeeni kibaigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa na sikuridhika ile tunazungushiwa mwili kama marathon na nilikuwa far. Hapa nakanyaga mpk Dodoma. Lazima nimuone huyu mzee as last time nilimuona pale TMA. He was my hero as individual man no matter how tulitofautiana in few matters.

Chatoooo....rest easy Mzalendo halisi.
TMA????
 
Sitaki hata kupasikia Tanzania Military Academy....
 
Jamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...
Kama aliweza kupata kura Zaidi ya milioni moja unashangaaje kuagwa na watu laki mbili. By the way ukifa hayo yote bure tu hata dunia nzima ikulilie unabaki wewe na kaburi na matendo yako. Tuko na Samia now
 
Back
Top Bottom