kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Hakuna uchaguzi uliovurugwa...! Majibu yake ndo hilo NYOMIKama ni hivyo kwanini aliuvuruga UcHaGuZi"?
Hakuna uchaguzi uliovurugwa...! Majibu yake ndo hilo NYOMIKama ni hivyo kwanini aliuvuruga UcHaGuZi"?
Engua Engua, Ballot stuffing na kutupiga kote kule ninyi mumeshasshauHakuna uchaguzi uliovurugwa...! Majibu yake ndo hilo NYOMI
Hakika tutakufa!sijui kwann tunaidharau CORONA??[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Ungepita kimya, hii PAAAH ni imekupata panako.Haisaidii kitu, tupo na utawala mwingine sasa. Mabaya aliyofanya tutamsamehe, mazuri yataendelezwa. Kuanza kuita watu umbwa ni dalili ya kulazimisha mambo.
Kundi la wapotoshaji lipo tweeter linaongozwa na wajinga wachache wasiojielewa
Wamejaza chuki chuki kwenye mioyo yao
Mungu awasamehe kwa kupotosha watu
Serikali&chama wamefanya kazi kubwa wamesomba watu kutokana kila kona ya Nchi kuonesha kwamba mwamba alikuwa napendwa.What a hype.
Radio zote, TV, magazeti, wasanii, nyimbo za bongo fleva. Nguvu ya dola.
Bado tu mliamini watu hawatakuja.
Why mnahangaika sana ku-prove wrong kwamba Magu alipendwa.
Jamani hakuna mtu anayechukiwa na dunia nzima. Hayupo.
Ila mnaforce hype utafikiri WCB au Clouds wanaingiza sokoni msanii mpya.
Relax.
TUMEONAAAAAA......! Ama Kweli huyu ndiye...! Sijui tutampata wapi wa kufanana naye...!
Mkuu soon naingia dom, lazima nitamuona huyu baba wa mataifaMwamba njoo Dar, kesho nenda Unguja kamsubirie huko.
Serikali&chama wamefanya kazi kubwa wamesomba watu kutokana kila kona ya Nchi kuonesha kwamba mwamba alikuwa napendwa.
Rafiki silali Lodge, pale kuna rafiki angu atani-accomodate. It is like homeDodoma Kumejaa Sana
Hutapata Nafasi Iwapo Umeshindwa Dar Es Salaam Kwa Siku Mbili
Utaweza Dodoma Siku Moja
Mie nilimuona kwenye kamisheni yake ya kwanza TMA akiigiza gwaride la wale Luteni Usu. We enjoyed a lot! Real Mungu katukomeshaAlafu mimi sijawahi kumuona LIVE magufuli
Silali Lodge. Kesho hata saa 11 alfajiri nitatinga Jamuhuri, no matter what!Hapo Dodoma kupata chumba Lodge, Hotel ni mbinde hasa kwa unayeingia usiku!
Nyomi ni zaidi ya Dar!
Sikuwa Na Maana Utalala LodgeRafiki silali Lodge, pale kuna rafiki angu atani-accomodate. It is like home
Usijali mkubwa! Nimejikamilisha. Nilipiga full tank pale Puma Msamvu!Salute kwako natamani nikutumie ya mafuta kifo cha mzee Magu sikwenda kazini niliumia usiku had mchana ndio kiongozi nitakaye wasimulia wanangu wakikua.
Safari njema mkuu, katuwakilishe!Usijali mkubwa! Nimejikamilisha. Nilipiga full tank pale Puma Msamvu!
Nami my next kid akiwa boy nitamuita Magu
Kibaigwa nilipita vzr tu. Ngoja tukampe mzed heshima yake kubwa!Ila ujue chamwino wamezuia magari kuja dodoma mjini so nahisi utakutana na foleeeeni kibaigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes! Monduli moja iyo. Nilikuwa nauza karanga vijiwe vya pale sokoni!TMA????
Ha ha haaa! Mi nilikuwa muuza njugu tu kaka!Sitaki hata kupasikia Tanzania Military Academy....