Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,806
Njoo tupeane kampani mama!Mimi naenda pia mkuu nikupe namba unitumie ya mafuta?
Njoo tupeane kampani mama!Mimi naenda pia mkuu nikupe namba unitumie ya mafuta?
Ntafika saa 8 huko usk...tanguliaNjoo tupeane kampani mama!
Na mie ni mfu*waacheni wafu wawazike wafu wao"
Acha ujinga, tafuta ugali wa watoto. Mwenzio amekanyagwa na umati pale Uhuru akafa, ameiacha familia yakeHapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa
Acha kupangia watu maisha...Acha ujinga, tafuta ugali wa watoto. Mwenzio amekanyagwa na umati pale Uhuru akafa, ameiacha familia yake
Sawa!Acha ujinga, tafuta ugali wa watoto. Mwenzio amekanyagwa na umati pale Uhuru akafa, ameiacha familia yake
Hayo siyo maisha, ni kifo. Nimesema mwenzio hakutulia nyumbani, amekanyagwa pale Uhuru akafa, wewe unasema maisha!Acha kupangia watu maisha...
Jamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...
Naskia pale Taifa na airport kuna watu wamepoteza maishaHayo siyo maisha, ni kifo. Nimesema mwenzio hakutulia nyumbani, amekanyagwa pale Uhuru akafa, wewe unasema maisha!
Mmeenda msibani au mmeenda kufanya usaliti Kwa wenzi wenu?Njoo tupeane kampani mama!
Hapo ungefanya juhudi uende chato kuna utamwona wiki nzimaHapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa na sikuridhika ile tunazungushiwa mwili kama marathon na nilikuwa far. Hapa nakanyaga mpk Dodoma. Lazima nimuone huyu mzee as last time nilimuona pale TMA. He was my hero as individual man no matter how tulitofautiana in few matters.
Chatoooo....rest easy Mzalendo halisi.
Kwa lipi mkuu Mimi na siasa mbalimbali...ndiyo tupo na utawala mwingine ila kwa sasa tunaongelea kilichopo.Haisaidii kitu, tupo na utawala mwingine sasa. Mabaya aliyofanya tutamsamehe, mazuri yataendelezwa. Kuanza kuita watu umbwa ni dalili ya kulazimisha mambo.
What a hype.
Radio zote, TV, magazeti, wasanii, nyimbo za bongo fleva. Nguvu ya dola.
Bado tu mliamini watu hawatakuja.
Why mnahangaika sana ku-prove wrong kwamba Magu alipendwa.
Jamani hakuna mtu anayechukiwa na dunia nzima. Hayupo.
Ila mnaforce hype utafikiri WCB au Clouds wanaingiza sokoni msanii mpya.
Relax.ukwl ndio huo mafisadi roho zinawauma sana kuona watu wanazimia kwaajil ya mzee
[emoji23]Nikajua ulikuwa kipofu sasa umeona
Heshma ukiwa mfu yafaa nini......... NdchoE
Kwa lipi mkuu Mimi na siasa mbalimbali...ndiyo tupo na utawala mwingine ila kwa sasa tunaongelea kilichopo.
.note that. Mzee amepewa heshima sana sana kuliko mlivyotegemea.
Mmmh labda kwa nyie wa kiume, mi nilikuwa na wajeda wengi wao walikuwa wa kiume na ndo walikuwa wanasaidia kunipush mbele ili nisibaki nyuma, yaan kiufupi wao ndo walinifikisha hadi kwa hayati...
Kila mtu apambane na Hali yake , hatukumtuma afe Sisi ,