Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,054
- 2,017
Tii kiu yako mkuu...lakini atleast usisahau barakoa mkuu,usije kuwamaliza uwapendao ukitoka huko.Nitatumia njia yoyote, nataka roho iridhike
Tii kiu yako mkuu...lakini atleast usisahau barakoa mkuu,usije kuwamaliza uwapendao ukitoka huko.Nitatumia njia yoyote, nataka roho iridhike
Kivip kamdhihaki Mungu wake!? Acha kua Mtumwa wa fikra,jitahidi sana kua na fikra huru!!Kuna mambo ya kutania lakini sio hilo...usimdhihaki mungu wako bwana.
Korona sio ya kuiletea mchezo kenge wewe, na kwa taarifa yako hata afe lisu nyomi itakuwa hivyo hivyo wabongo huwa hatueleweki tunataka niniJamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...
Amekufa Ghafla Sanahiki kifoo chakushtua sanaaa. sizani kama hakijakuuma utakuwa na matatizoo
Upo mjini lakin hata hela huna,bora hata mimi niliepo kijijinUmekoswa kazi ndo lugha gani? Umekuja lini mjini Hadi unaandika lugha ya huko kwenu?
Kwangu mie tafsiri yake ni kwamba yesu ambaye ndio kiongozi wa hao malaika hafai.Kivip kamdhihaki Mungu wake!? Acha kua Mtumwa wa fikra,jitahidi sana kua na fikra huru!!
Mungu anaamua anavyotaka yeye,anaweza hata Mchukua Myama Ngamia na kumfanya kua Kiongozi wa Wanadaamu!!Kwangu mie tafsiri yake ni kwamba yesu ambaye ndio kiongozi wa hao malaika hafai.
Yaani wewe mere mortal uliyezaliwa na mwanamke asie mkamilifu leo hii ukawe kiongozi wa wakamilifu.....
Hamna kitu kama icho...acha argument for argument sake. God is not that recklessMungu anaamua anavyotaka yeye,anaweza hata Mchukua Myama Ngamia na kumfanya kua Kiongozi wa Wanadaamu!!
Wenye IQ hafifu huwa hawajali mpaka washindwe kuhemaSuper Spreader Event
Kama mataifa jirani, yanakuja kutusupport na kutoa heshima zao.Tundu Antipasi Lissu amehoji kutembezwa kwa mwili wa Hayati Magufuli kuagwa kwa heshima wakati ati ugonjwa wake ulifichwa (ona kiambatanisho)!
View attachment 1730949
Je, yuko sahihi au Hayati Magufuli anastahili heshima kubwa zaidi kama inavyoelezwa kwenye Video clip - kiambatanisho?
View attachment 1730954
Kwani wwe unadhani hao Wanyama unaowadharau wameumbwa na nani!? Mungu ndiyo muweza wa yote Kama ulikua hujui! Kuna Wanyama wengine Wana maarifa kupita Binaadamu wengine wasio kua na akili!?Hamna kitu kama icho...acha argument for argument sake. God is not that reckless
Huyo ni rais ambaye alikua madarakani. Lissu kama hawezi kuacha chuki basi aipunguze japo kwa asilimia 2%....Tundu Antipasi Lissu amehoji kutembezwa kwa mwili wa Hayati Magufuli kuagwa kwa heshima wakati ati ugonjwa wake ulifichwa (ona kiambatanisho)!
View attachment 1730949
Je, yuko sahihi au Hayati Magufuli anastahili heshima kubwa zaidi kama inavyoelezwa kwenye Video clip - kiambatanisho?
View attachment 1730954
Sana atamkuta mama Janeth kavaa barakoa waanze kutukanana hadharani, halafu sisi wafuasi wa mama Samia tunamtaimu kwa nyundo moja tu ya kichwa alale vizuriMara paaaaap JPM kaibuka na anatuambia kuwa yote yalikuwa maigizo kjua nan? anapendwa kias gan? nahs watu watakufa
credit: comment ya mdau at facebook
Wapi nimesema kuwa nawadharau wanyama?Kwani wwe unadhani hao Wanyama unaowadharau wameumbwa na nani!? Mungu ndiyo muweza wa yote Kama ulikua hujui! Kuna Wanyama wengine Wana maarifa kupita Binaadamu wengine wasio kua na akili!?
Usikariri sana Maandishi,ya Mungu Mengi!!Wapi nimesema kuwa nawadharau wanyama?
Kila jambo limepangwa kwa utaratibu wake. Mnyama hawezi kumuongoza mwanadamu na mwanadamu hawezi kumuongoza malaika na malaika hawezi kumuongoza mungu.
Inatuhusu nini