Hii ya kutawala malaika was far fetched..even for himKuna waliofika kupata uhakika kweli kabisa kiongozi wa malaika kaenda kutawala uko??
Hii ya kutawala malaika was far fetched..even for himKuna waliofika kupata uhakika kweli kabisa kiongozi wa malaika kaenda kutawala uko??
Hongera siyo OngeraOngera kwa jitihada mkuu.
Na hautarudi kamwe...tunayo majina yao hadi wajukuu zao...Mnaombea ufisadi urudi.
😅😄😃😋😂😉😆*waacheni wafu wawazike wafu wao"
Hiyo ni msg sent ohhh hapendwi ohh kimepanda kimeteremka hiyo nyomi imewavua nguo....tuko na mama ndio nani kakataa but for the meanwhile ni habari za kupumzisha Mpendwa wetu kwanza...Kama aliweza kupata kura Zaidi ya milioni moja unashangaaje kuagwa na watu laki mbili. By the way ukifa hayo yote bure tu hata dunia nzima ikulilie unabaki wewe na kaburi na matendo yako. Tuko na Samia now
Aliongea utani tu mzee wa watu ila mtakavyoikuzaaHii ya kutawala malaika was far fetched..even for him
"Umbwa" mwenyeweJamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...
Mbona kama unajistukia mzee mamaHiyo ni msg sent ohhh hapendwi ohh kimepanda kimeteremka hiyo nyomi imewavua nguo....tuko na mama ndio nani kakataa but for the meanwhile ni habari za kupumzisha Mpendwa wetu kwanza...
Kuna mambo ya kutania lakini sio hilo...usimdhihaki mungu wako bwana.Aliongea utani tu mzee wa watu ila mtakavyoikuzaa
Hata kwa bible imeandikwa kbsKuna mambo ya kutania lakini sio hilo...usimdhihaki mungu wako bwana.
Ukifa unabakiwa na kaburi na matendo yako tu, kazoe korona huko umpelekee mumeo na wanao homeHiyo ni msg sent ohhh hapendwi ohh kimepanda kimeteremka hiyo nyomi imewavua nguo....tuko na mama ndio nani kakataa but for the meanwhile ni habari za kupumzisha Mpendwa wetu kwanza...
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
Watakuja kukutukana maana hawana hoja!Jamani mmeona asiyependwa alivyo na nyomi Mungu kawavua nguo wanasiasa ugomvi na mpasuko ni huko juu kwenu sisi tunataka shule barabara,na wanyonge tutizamwe kama kipenzi chetu alivyokuwa anatupa kujiamini umbwa wote mlomchukia Mzee Leo mmevuliwa nguo sio kwa nyomi ya Dodoma na Dar...