Yanayoendelea kukamatwa kwa Lissu, na Heche ni kama mpango wa kuifuta No reforms no election

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.

Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.

John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate tamaa hamkumwelewa!?
 
Ndoto za Asubuhi Hizo !!
 
Labda ungesema yule aliyepanga kuwafukuza kina TAL:

Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.

Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.

John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate tamaa hamkumwelewa!?
Chawa, uchawa, kunguni, ukunguni, kiroboto, ukiroboto, funza, ufunza, panya, upanya, ad infinitum.
 
Kwa sababu maamuzi ya Chama yalishapitishwa .

Alafu kusain sio inshu, Tundu LISSU angeweza kusaini na bado asiingie uchaguzin.
CCM unadhani wanayapenda hayo maamuzi ya CHADEMA?

Kusaini ni ishu ndiyo maana kuna mjadala kuhusu Kusaini ama kutokusaini!
 
Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.

Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.

John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate tamaa hamkumwelewa!?
Safi kabisa tena hao wanatakiwa kufukuzwa Chadomo
 
Back
Top Bottom