Yanayoendelea kukamatwa kwa Lissu, na Heche ni kama mpango wa kuifuta No reforms no election

Umeota ndoto mkuu Kama Lena au hichokitu hakiwezitokea ni sawa na we namkeo mkamatwe mujemukute nyumbaimeuzwa nawatoto hapo kunamaswari yakujiuliza
 
Chadomo na domo,mnanyofolewa huku Wanaoitwa Wafuasi wenu wanawashangaa tuu
Huwa hivyo. Hata Mwalimu Nyerere alinyofolewa hivyo hivyo lakini wakoloni hawakuwa makatili kama nyie.

Wakati ule Nyerere aliponyofolewa mahakama hazikuwa zinauogopa mhimili uliojichimbia zaidi!
 
Huwa hivyo. Hata Mwalimu Nyerere alinyofolewa hivyo hivyo lakini wakoloni hawakuwa makatili kama nyie.

Wakati ule Nyerere aliponyofolewa mahakama hazikuwa zinauogopa mhimili uliojichimbia zaidi!
Nyerere gani huyo? 🤣🤣
 
Umeota ndoto mkuu Kama Lena au hichokitu hakiwezitokea ni sawa na we namkeo mkamatwe mujemukute nyumbaimeuzwa nawatoto hapo kunamaswari yakujiuliza
Sijaelewa mantiki ya hoja yako umeijenga kwa kuwaza nini?
 
Propaganda za kisiasa ni hio kusema hakuna uchaguzi bila marekebisho kadhalika propaganda za kiasia ni hio kusema kushikiliwa viongozi wa chadema ni mpango ulio sukwa ili kufanya mabadiliko ya msimamo wa chama kwa viongozi wanao kaimu madaraka wakati viongozi waandamizi wapo kizuizini.
Propaganda za kisiasa ni ikiwa ni kweli huo mpango umeandaliwa na ccm , pamoja na kuwa ni failure lakini itakuwa ni wajinga sana hao ccm kufanya kitendo hiko.
 
CCM unadhani wanayapenda hayo maamuzi ya CHADEMA?

Kusaini ni ishu ndiyo maana kuna mjadala kuhusu Kusaini ama kutokusaini!
Suala la Kusaini, Kwa CHADEMA, niwapongeze sana LISSU, Heche na Mnyika, Hawa watu watatu Wana akili kubwa sana.

Unadhan kwann CHADEMA ikaanzisha hoja ya suala la Kusaini ,ikiwa tuna NORENE??.

HATUA ZA LISSU ZINA UHAKIKA
 
Propaganda za kisiasa ni hio kusema hakuna uchaguzi bila marekebisho
Hiyo siyo propaganda Bali ni takwa la watanzania wengi wenye akili timamu
Usiwawekee dhamana CCM kwenye kufanya mambo ya ajabu yasiyofikirika Kwa watu wenye akili timamu!
 
Kufikilisha kama ulivyo jifikirisha wewe
Maana kutaja familia ni mfano mgumu Sana... Inaumiza lakini hakuna namna!

Kuna jamaa alikuwa anadaiwa, akahama mji kwenda kutafuta Hela alipe deni ambalo sehemu kubwa mkewe ndiyo aliyetumia kwenye biashara zake.

Siku kapata Hela akarudi kulipa deni,. Kufika nyumbani kwake akakuta mkewe mjamzito mimba ya mtu mwingine. Akageuza kurudi alikotoka na Hela zake!

Ndiyo maana mfano wako nimeona upo deep Sana!
 
Ahaaaa sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…