Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

sasa kama rais amegeuka kuwa rahisi anacheza masinema tu na kuhangaika na wasanii unategemea nini? na huko duniani walivyo smart wanampachika tu ma piihechidii ya kisanii maana wanasema ukitaka kumteka mjinga mpe sifa, sijawahi kuona nchi mambo hayaendi na mkuu wenu anakenua mimeno tu na kuzurura angani kila uchao, ukliuliza eti kaenda kusaini mikopo, kwani Balozi asingeweza kusaini mpaka waondoke woooote na lidege la nchi kwa gharama kuuubwaaaaaaaaa?
 
Mtaje jina
 
Mama kagawa bandari kwa waarabu wenzake magaidi wapandisha majini ameona haitoshi anaendaa Korea kuwaita macho ya paka waje kuchukua rasilimali zilizobaki. Nchi ya kiqumer sana hii.
Mkuu just be careful…. Huna haja ya matusi na ubaguzi

Usijiamini sana
 
Kama taasisi ya urais ni kitu kinachotakiwa kuaminiwa kwanini hadi sasa nchi bado ni maskini tena miaka 60 na zaidi ya uhuru, au hiyo taasisi haikuwepo?

Ukweli ni kwamba ccm ndio chanzo cha umaskini kwa sababu hicho mnachokiita taasisi ya urais ndio ccm yenyewe na hivyo ccm imeshindwa na haina uwezo wa kuleta maendeleo bali kuhujumu nchi na rasilimali zake.
 
Kama taasisi ya urais ni kitu kinachotakiwa kuaminiwa kwanini hadi sasa nchi bado ni maskini tena miaka 60 na zaidi ya uhuru, au hiyo taasisu haikuwepo?
Inategemea huo umasikini unautazama toka angle gani,ukisema umasikini walokuwa nao watanzania wa miaka ya 60 ni sawa na umasikini wa watanzania wa miaka ya 2000 utakuwa umekosea,maendeleo sio ndoto ni process ,yaani moja mbili na kuendelea,kiufupi tunaimalika na maendeleo yanaonekana.

Tuipe muda CCM pamoja moja na rais wake,mambo mazuri yanakuja,mama yuko kazini
 
...ni Jaji yupi huyo aliyeyasema haya Mema ?.…. [emoji848]
 
...CHAWA Utawajua TU ! Inasikitisha....! [emoji45][emoji45]
 
Serikali haifanyia biashara ndi kauli mbiu yenu , acha kila kitu wapewe.
 
...CHAWA Utawajua TU ! Sad....
 
Huyo jaji wako amestaafu na akili yake, akae kimya
 
...Miaka 60 tuliyowapa haitoshi ???....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…