BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Narudia tena wewe ni mpumbavu na mzushi ambaye huyaoni wanayoyasema ili kuleta maridhiano na kukaa na huyo samia ili kujadili kwa kina kuhusu mustakabali wa Taifa.
Mbowe alizungumzia kuhusu umuhimu wa kuwa na maridhiano tangu December 2019 hadi hii leo hakuna yeyote ndani ya Serikali au maccm aliyemjibu. Kwa sababu hawaoni umuhimu wa kumjibu. Hilo HULIONI mzushi wewe.
Chadema wamemuandikia barua huyo samia ya kutaka kukutana naye. Samia kakutana na makundi yote ambayo hata hayakuomba kukutana naye wazee wa Dar, wanawake na vijana lakini cha kushangaza hadi hii leo hata barua ya Chadema hajaijibu kwa maandishi hata kwa kauli tu ya dakika mbili hadharani. Hili MPUUZI wewe hulioni!
Halafu unakuja humu kuandika uzushi wako kuhusu Chadema kutumika na BEBERUS wakati ukiwa huna hata chembe ya ushahidi.
Narudia tena uzushi na upuuzi wako mwisho wake lumumba siyo humu.

Naomba unielewe, mimi sijaandika uzushi nimeandika maoni ya ninachoikiona kwa kuangalia mwenendo wa Chadema.
Nimesikiliza na kupima kinachozungumzwa na Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika...